Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We've a lot of narcissists on this thread
Pambaneni na hali yenu.
But I think you can advise them to consult a doctor.
Unfortunately the condition they have can't be cured. I hope something could be done to avoid extremity though
 
Ndio hivyo jembe, kutingishwa humu lazima ila lazima uwe smart ,mlimpanikisha collohmzii hadi akawa anataka kuwameza[emoji23] [emoji23]
shida mojawapo ya wakenya ni tabia yao ya kuwa hostile and short-tempered.
nadhani hili linatokana na ile chuki yao ya kikabila dhidi ya wao kwa wao.

they don't have that sense of humor while discussing with them.utani wa kawaida wao huuchulia serious sana.

nakumbuka collo mzii tulikuwa tunamtania kuwa yeye ni watchman, alikuwa anakasirika sana na kuanza kuporomosha matusi dhidi yetu, matokeo yake akawa anaishia kupigwa ban[emoji23][emoji23].

huyu kilaza mwengine na yeye kumuita housemaid imekuwa ni issue kubwa kwake, yaani anaumia sana. kwani housemaid si ni kazi tu kama kazi zingine. [emoji23].

uzuri tushajua weak point zao, kwa hiyo tunapita nazo mlemle ili kuwamaliza.
ni mchezo wa mind game tu.
 
Pambaneni na hali yenu.
But I think you can advise them to consult a doctor.
Unfortunately the condition they have can't be cured. I hope something could be done to avoid extremity though
Housemaid vipi!? Siku hizi unakesha JF!?
 
And you kadada the reason why I insulted you ni kuja kuanika posts zangu hapa.That is a joke taken too far. Nilikwambia kama ni kunipachika majina hapo ni sawa hata ukiniita kahaba najua wamejaa arusha na mwanza you little thing.
 
Daaah mkuu
Mi nilipita Mazengo tech, umechambua vzuri sana tulivokua tunasona. Bila shaka umepira technical school
 
Hey! You wanna reconcile the two parties? These people are irreconcilable. You are just wasting your time.mtafiti .nenda ukaendelee na utafiti

Vyovyote utakavyoweka, mimi nilitaka tu kushindana kwa hoja. Sasa jinsi ninavyokuona hata wewe huhitaji hoja, naona unatoa tu ulichonacho moyoni. Tena unashangaza, wewe mwenyewe unashambulia, ila ukipata athari mbadala unalalamika. Kama ulishaamua kumwaga mboga, mwingine akiubeba ugali usilalamike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…