Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona sgr dume anakupa wasiwasi kwel...hahaaaaa!!malizeni hilo jike lenu tuone km atabeba double stack
usilete sexism hapa halafu kubali tu ukweli. kama mmeshaingizwa mjini na hiyo sgr ya wachina mmeshaingizwa mjini tu, maneno ya kejeli hayasaidii kitu
 
Acha kujidanganya bibi ww
 
usilete sexism hapa halafu kubali tu ukweli. kama mmeshaingizwa mjini na hiyo sgr ya wachina mmeshaingizwa mjini tu, maneno ya kejeli hayasaidii kitu
First in africa..double stack..itakuuma sana...hii huez ifananisha na cargo train yoyote africa kw kubeba mizigo....
SGR DUME HILI 😀 😀 😀
 
Sasa physics watu kenya hta form 1 wanasoma...form 3 na 4 ndio unachagua km utaendelea nayo au la
Sorry mkuu, kama hutojali tunaomba kuuona hapa mtihani wa taifa wa Physics au Chemistry au wa Biology form four hapa jamvini, ukiwa wa hivi karibuni itakua poa.
 
Acha kujidanganya bibi ww
Am telling you a nincompoop here always emphasize that numbers don't lie and we always trying to avoid heated arguments which lead to nowhere always concur. So the fact remains
Kenya no.1
Uganda no.2
 
First in africa..double stack..itakuuma sana...hii huez ifananisha na cargo train yoyote africa kw kubeba mizigo....
SGR DUME HILI 😀😀😀
😀😀😀wewe kijana wa Mombasa. Naona hawa bongolala wamekukalia mbaya. Wankuita hadi housemaid😅😅😅😅
 
Am telling you a nincompoop here always emphasize that numbers don't lie and we always trying to avoid heated arguments which lead to nowhere always concur. So the fact remains
Kenya no.1
Uganda no.2
Uganda ukipata div four Tz kule unaendelea hadi form six Leo Hii ndio imekua bora kuliko Tz hahaha you must be retarded
 
Sasa physics watu kenya hta form 1 wanasoma...form 3 na 4 ndio unachagua km utaendelea nayo au la
Sorry mkuu, kama hutojali tunaomba kuuona hapa mtihani wa taifa wa Physics au Chemistry au wa Biology form four wa Kenya hapa jamvini, ukiwa wa miaka ya hivi karibuni itakua poa.
 
form 5 and 6 ni rahisi sana compared to form 4 ya Kenya ...................most kenyans who score grade C minus and D plus end up with distinctions in O levels
kuna jamaa flani alimaliza kenya form 4 akaja kuendelea na form six bongo alizungusha zero mchipuo wa PCM kwaiyo uwez linganisha mwanafunzi wa kidato cha sita bongo na cha nne kenya
 
Nakumbuka nikiwa form 3 mimi na rafiki angu nillikuwa tukifanya maswali ya biology, form 4 kenya, aisee mitihani ulikuwa mweupe sana.
Hata mimi nikiwa form 4 niliwahi kutumia kitabu Chao cha Kemia. Na ndio maana nikasema hapa kuwa huwezi kulinganisha kabisa form 4 yao na 6 yetu. Kwao electochemistry ilikua kidogo tu na huwezi kabisa linganisha na content ya electochemistry ya advanced level ambayo ina matango ya kufa mtu.
 
Ile nimeipita review hii kidogo kichwa kimeanza kuuma sio kwa mziki huo wa PCB mzee baba achaaa...
 
nimefurahishwa na mjadala wa leo kati wakenya na watanzania ulioangazia masuala ya elimu.

baadhi yetu hatujazoea ku-argue kwa porojo, tunapenda facts.

nilichogundua kwa wakenya ni kwamba kila wanachofafanuliwa kuhusu elimu yetu ya O-level(form 1 up to form 4) na high level(form 5 up to form 6) huwa wanadai eti wamesoma tangu wakiwa sijui primary sijui wakiwa form 1 and blablabla.

sasa twende kwenye practical, tusipige porojo.vitendo vizungumze zaidi kuliko maneno.

naleta kwenu advanced mathematics national examination paper for form six student that was held in tanzania on may 2018.

nataka wale wakenya waliobobea katika mathematics wa solve maswali katika papers then watuonyeshe equations and solutions walizotumia kupata majibu.

uzuri jamiiforum imekusanya magwiji wa kila fani.magwiji watakuja kuthibitisha kama majibu ni sahihi au lah. porojo zikae kando kwa mda.

housemaid we don't need your excuses and blablabla here, solve these questions pls.

copy to Kijibabu
 
Ile nimeipita review hii kidogo kichwa kimeanza kuuma sio kwa mziki huo wa PCB mzee baba achaaa...
Yaani hapo nimeeleza juujuu huo muorganic chemistry usikie tu kwa watu, kama kiorganic cha O level kilikua kinakutoa jasho basi bora tu uende zako diploma mapema kabla Ndalichako hajakula kichwa.

Ukitoka unakuta physics imekusimamia kucha, umepiga zako mechanics yote ila maswali hayaendi [emoji3] [emoji3]. Ila alieweka hii syllabus mungu anamuona aisee. Advanced level imepoteza matumaini ya watu wengi sana.

Mnapoanza PCB form dala Utasikia wana kibao wanajiita Dr fulani ila ngoma ikipamba moto utasikia Kwani shs ngapi hata nikipata hizo D mbili za kwenda chuo sio mbaya [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

Attachments

  • Screenshot_2018-10-08-19-47-46.jpg
    32.9 KB · Views: 27
Pure Maths aka Number ohooo nipo pemben nasubir Answers kutoka Kenya Intelligents [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…