Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nishampuuza tyari
Umeshindwa na hoja niletee kitu km hichi...

The United Republic of Tanzania was formed on 26 April 1964 as a result of theUnion of Tanganyika and Zanzibar. ... In 1953 under the leadership of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, TAA was recognised as a political party and was transformed into the Tanganyika African National Union (TANU) in 1954.
 
Wametia njeve..waoga

icho huyo jamaa ni mkora wa pale kayole slums,hajui chochote, ni kilaza wa ukweli kabisa
Mimi nimembeza,naona ka napoteza muda wangu!
Heheeee!!eti slums....
Cheki location yenye niko sai.
Screenshot_2018-10-01-23-54-34.jpg
 
Wanaogopa Facts sana.wanataka ku forci iwongo
Ndio hvo..hawaamini km natoke msa...hawajui km msee wa mombasa anaeza type kw sheng bt kuongea ndio hawapendi...

Na pia mwanangu wakileta mambo na kiswahili fasaha..wataterema nakwambia..

Mi hucheki vyenye hujisifu humu eti swa imetoka tz...na wakati mombasa kuna kabila la waswahili haswa
 
Mombasa na malindi ndio oldest towns east africa na hapo ndio kiswahili ilianzia kabla ya kuvuka boda hilo wanafaa kulijua...pia sisi nai tukiamua kiswahili fasaha watakiona.
 
Cheki watoto wa kiswahili hao...tena hao si wakali nakwambia...kuna wakali...nadhani ushwai jionea...
xSwahiliPeople14.jpg.pagespeed.ic.o0dLdSzmy7.jpg
xSwahiliPeople11.jpg.pagespeed.ic.ZROce2zs1B.jpg
359xNxSomaliPeopli11.jpg.pagespeed.ic.ayI9cHFHcq.jpg
 
Hahaha, tweeter account ya Kenya Inafolow karibu watu 1500, hahahaha. Kituko hiki,
Umeicheki hyo ya huyo jiwe wenu..yani inatia kinyaa..rais mzima lkn bado followers hta robo ya wapiga kura hajafikisha..hapo kuna tatizo
 
post dada yako nimuone
Ameogopa kuni quote...manake nlikuwa natuma ndo waje na wale madem wao wa make-up ndio nimchakaze kabisa..huo ulikuwa mtego ndugu yangu..ila kaukwepa...

Anzisha uzi tanzania vs mombasa ndio utajionea wewe....yani hzo picha ni za watoto wa kawaida sana...km unataka kuona warembo fungua huo uzi sasa
 
Achana na hiyo ujinga.
 
Hao wadigo wapo tanga
 
Kila siku kubishana bishana. Sasa mimi nasema kenya masikini na TZ masikini. Wote nchi za weusi matatizo tu wala hakuna unafuu wala uzuri. Watu shida mpaka chooni mnakesha hapa kubwabwaja. Waulizeni masikini wengi wakwambieni kuhusu Kenya na TZ. Na hakika majibu yatakuwa kama matapishi. Hakuna nchi nafuu zote tabu tu.
 
Mombasa na malindi ndio oldest towns east africa na hapo ndio kiswahili ilianzia kabla ya kuvuka boda hilo wanafaa kulijua...pia sisi nai tukiamua kiswahili fasaha watakiona.
😁 😁 😁 😁 😁
 
Back
Top Bottom