Dodoma Jiji na nyumba za tope kuelekea katikati ya Jiji

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,287
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.

Kibaya zaidi maeneo yenyewe yanaonekana hayajapimwa na hivyo kutoa picha mbaya kwa linaloitwa jiji.

Mfano mwingine ni uwanja wa ndege uliopo hapa Dodoma ambao ni mdogo lakini hauko busy ndege za kuhesabu sasa huo mkubwa utaojengwa huko Msalato si ajabu nao ukawa idle tu muda mwingi.

Kwa mtazamo wangu,kuna kazi kubwa sana kuifanya Dodoma ionekane ni Jiji na kuna gharama kubwa sana ya kuibadilisha Dodoma.
 
Mleta mada kwa hiyo tafsiri ya jiji kwake ni Aina ya nyumba stupid.Hata hajui sababu ya jiji kuwa jiji.Hivi nyie chadema Huwa hata msome ujinga hauwaishi kulikoni? Mbowe anawaloga au? Ingekuwa jiji kuwa jiji ni nyumba Moshi kwenu kungeshatangazwa jiji miaka mingi zaidi ya 60 iliyopita tena Na mkoloni
 
Haya majiji yetu ya kiafrica ya kufosi kwani wewe huyajui mkuu..

Jiwe ni failure kama bashite maana tulishaeleza hapa vigezo vya kuwa jiji.
kwanza, idadi ya watu wafike laki tano
pili, hao watu laki tano 75% vipato vyao VISITOKANE na kilimo
tatu, wajiendeshe kwa 95% bila msaada wa serikali
nne, Wawe na kiwanda kimoja kikubwa cha ku manufacture sio hivi vya cherehani 4
tano, wawe na vivutie eg Museum, Confrences hall, hotel kubwa, sweeming pools, spas na vingine vya anasa

Dodoma bado sanaaaaa
 
Haya majiji yetu ya kiafrica ya kufosi kwani wewe huyajui mkuu..
Kwa hiyo kwa elimu koko Na ujinga uliojazwa Na chadema jiji hutangazwa kuwa jiji kwa sababu ya aina ya nyumba zilizopo? Chadema ndio maana kuna maprofessor wawili tu wanachama tena wastaafu ambao ni Professor Baregu Na Professor Safari Na vizee vistaafu choka mbaya kama Dr Rwaitama.Wasomi active hawajiungi sababu ya ujinga kama huui wa mleta mada ambaye ndie advisor mkubwa chadema angalia stupidity and his level of advice aliyoleta hapa iko below sea Level of intelligence
 
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.

Kibaya zaidi maeneo yenyewe yanaonekana hayajapimwa na hivyo kutoa picha mbaya kwa linaloitwa jiji.

Kwa mtazamo wangu,kuna kazi kubwa sana kuifanya Dodoma ionekane ni Jiji na kuna gharama kubwa sana ya kuibadilisha Dodoma.
Tulishasema hayo tangu kitambo lakini tukaonekana wapingaji !
 
Kwa hiyo kwa elimu koko Na ujinga uliojazwa Na chadema jiji hutangazwa kuwa jiji kwa sababu ya aina ya nyumba zilizopo? Chadema ndio maana kuna maprofessor wawili tu wanachama tena wastaafu ambao ni Professor Baregu Na Professor Safari Na vizee vistaafu choka mbaya kama Dr Rwaitama.Wasomi active hawajiungi sababu ya ujinga kama hii wa mleta mada ambaye ndie advisor mkubwa chadema angalia stupidity of his level of advice aliyoleta hapa iko below sea Level of intelligence
Jikite kwenye mada wewe masikini mnafiki !
 
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.

Kibaya zaidi maeneo yenyewe yanaonekana hayajapimwa na hivyo kutoa picha mbaya kwa linaloitwa jiji.

Kwa mtazamo wangu,kuna kazi kubwa sana kuifanya Dodoma ionekane ni Jiji na kuna gharama kubwa sana ya kuibadilisha Dodoma.

Move nzima ya kuhamisha mji mkuu kwenda Dodoma ilikuwa haina tija na ni move ya kisiasa zaidi.

Nchi yenyewe 10% ya watu ipo Dar.
 
Tunasema Dodoma ni jiji lakini unapokaribia kuingia mjini maeneo kama Ipagala unakutana na vinyumba vya tope kitu ambacho huenda hata wageni kinawashangaza sana.

Kibaya zaidi maeneo yenyewe yanaonekana hayajapimwa na hivyo kutoa picha mbaya kwa linaloitwa jiji.

Kwa mtazamo wangu,kuna kazi kubwa sana kuifanya Dodoma ionekane ni Jiji na kuna gharama kubwa sana ya kuibadilisha Dodoma.
Hata Dar kuna sehemu kuna nyumba za Tope.Pale Mbezi Tangi Bovu ukitokea Mwenge elekea kulia shuka chini chini kule iliko serikali ya mtaa utaona vijumba vya Mbavu za Mbwa
 
We Dom pako fit
 
Kwa hiyo kwa elimu koko Na ujinga uliojazwa Na chadema jiji hutangazwa kuwa jiji kwa sababu ya aina ya nyumba zilizopo? Chadema ndio maana kuna maprofessor wawili tu wanachama tena wastaafu ambao ni Professor Baregu Na Professor Safari Na vizee vistaafu choka mbaya kama Dr Rwaitama.Wasomi active hawajiungi sababu ya ujinga kama huui wa mleta mada ambaye ndie advisor mkubwa chadema angalia stupidity and his level of advice aliyoleta hapa iko below sea Level of intelligence
You comment is nothing more than just utter nonsense
 
Hata Dar kuna sehemu kuna nyumba za Tope.Pale Mbezi Tangi Bovu ukitokea Mwenge elekea kulia shuka chini chini kule iliko serikali ya mtaa utaona vijumba vya Mbavu za Mbwa
We jua tu hiyo Ipagala ninayoitaja ni kama dakika tano tu kutoka town center kwa gari.

Hoja yangu ni kwamba,kuna vitu vingi vya kurekebisha ili mji uendane na hadhi ya kuitwa jiji.
 
Kwa hiyo kwa elimu koko Na ujinga uliojazwa Na chadema jiji hutangazwa kuwa jiji kwa sababu ya aina ya nyumba zilizopo? Chadema ndio maana kuna maprofessor wawili tu wanachama tena wastaafu ambao ni Professor Baregu Na Professor Safari Na vizee vistaafu choka mbaya kama Dr Rwaitama.Wasomi active hawajiungi sababu ya ujinga kama huui wa mleta mada ambaye ndie advisor mkubwa chadema angalia stupidity and his level of advice aliyoleta hapa iko below sea Level of intelligence
Acha kutoa povu.

Hata vigezo vya kuwa jiji sijui kama kweli vimetimia ila tambua tu muonekano wa mji bado hauendani na hadhi ya Jiji.
 
Back
Top Bottom