Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha.... azam ni bad news.

they should bring all tv stations in kenya to compete with azam tv.
hakuna tv station yoyote ya kenya inaeza kaa meza moja na azam hakuna na haitatokea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Safi sana Azam Tv,hamna tv yoyote ya kenya inaweza kushindana nayo,hiyo Citizen tv ambayo ni number 1 kenya haiwez hata ITV a super brand television channel in East africa 4 times in a row.
 
lol....hata kama ni blind patriotism......hiii ni bhangi ijatolewa mbegu
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
kumbe ujenzi umekamilika wow

Arusha ni level nyingine kabisaaa tena wasijelinganisha na hivyo vijiji vyao ambavyo people use bicycles for taxis
 
chekini kw top 10 mabongolala mnachezea wapi..View attachment 879765
kwa hiyo uko proud kuwa number 6 on this list? Nigeria, the biggest African economy is number one na kwasababu ya chuki zako za kitoto ukaona unatuinsult. Baba hapa nisingerelply kama kenya isingekuwa kwenye list ila as long as it's there, you are stupid
 
Safi sana Azam Tv,hamna tv yoyote ya kenya inaweza kushindana nayo,hiyo Citizen tv ambayo ni number 1 kenya haiwez hata ITV a super brand television channel in East africa 4 times in a row.
Hahaha funny.
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki!!![emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani una fikiria uzuri ama umaarufu wa media house ni news desks??, fala wa mwisho, Tanzania ni mara ya kwanza kupata media house ya standard hiyo, of which ushamba wenyu unadhihirika wazi, ni kama mwaka jana kuna mtz alileta picha za lorry za kuzoa taka za kisasa, na mwingine anaweka picha ya speed gun akisema Kenya hakuna hizo!!, things I saw in the 90s nikiwa primary!!, ndio zinafika Tz, poleni kaka, mnafika mdogo mdogo. Lakini Ichoboy1 kwa hili la Tv I didnt expect such argument from you!! Ni aibu, ulijishusha lini? Hii wachia washamba, discuss other things, I thought umeanza kufika level ya Geza, ila pia yeye ni propagandist though not always., kumbe bado!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila nje ya dar ni mizoga
tanzania hata dar yenyewe haijadevelop.........ni vigumu kuona maendeleo huko.....kwanza nilipotravel from isebania to mwanza nilishangaa sana........the level of poverty in rural tanzania is extremely high
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ