Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How has that benefited you personaly!? What are you going to do with your smelly Kibera!? Do you have a dream of becoming a developed country!? Sort out tribalism and hunger first buddy!? Steadly your country is going down, keep dreaming and time will knick you out!
Exclamation marks at the end of your sentences tells alot about how you feel
 
if it was your screenshot it couldnt be kasi.mpya.jpg. fool other guys
Da! yaani wewe unataka niweke extension ya file iliyoko kwenye simu yangu kwenye public domain ambayo ni rahisi kuwa traced? Wewe kweli siyo mwerevu.

Sikiliza!

Huwezi idanganya google kwa kubadilisha jina la file au ku screen capture na hata kucrop image, wao walishatengeneza algorithms za neural networks na deep learning (google it) siku nyingi sana na kuweza kufanya pattern recognition ku-map hizo pixels kujuwa kama ni za original source au la.
 
poverty na mkenya ni nduguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘


Cha kushangaza ni kwamba hawa MDCs wana njaa na sisi LDCs hatuna njaa, Sasa hizi cooked up statistics zinawasaidiaje sijui huku wakifa na njaa. maendeleo yanaendana na kutosheleza mahitaji ya chakula Manyang'au
 
Cha kushangaza ni kwamba hawa MDCs wana njaa na sisi LDCs hatuna njaa, Sasa hizi cooked up statistics zinawasaidiaje sijui huku wakifa na njaa. maendeleo yanaendana na kutosheleza mahitaji ya chakula Manyang'au
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom