kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
salary wanayochukua wachina 5000 kwenye SGR yenu inauwezo wa kuajiri 15000 kenyans nikuletee ushahidi![]()






.... 




salary wanayochukua wachina 5000 kwenye SGR yenu inauwezo wa kuajiri 15000 kenyans nikuletee ushahidi![]()






.... 




Hicho cha Bocco kuikosa derby yetu na yanga ndiyo kinacho niumiza aisee.ndio basi tena. tarehe 30 kwenye dabi ya watani bocco hatutakuwa naye.
eBay Rudisha picha za nchi zingine
Picha za nchi nyingine!!?! Ebu punguza maumivu,hizo ndizo picha za treni zitakazo tumika kwenye SGR yetu.eBay Rudisha picha za nchi zingineView attachment 875612
we huoni design hio station tv ya tanzania boya wewe😂😂😂😂👇👇👇👇eBay Rudisha picha za nchi zingineView attachment 875612
your dreams are valid
kashachanganyikiea huyo😂😂😂😂 yani hawa mwakani hamutawaona hapaPicha za nchi nyingine!!?! Ebu punguza maumivu,hizo ndizo picha za treni zitakazo tumika kwenye SGR yetu.
what's so funnyeBay Rudisha picha za nchi zingineView attachment 875612
hana akili hata chembe. Jamaa anafikiri tuko desperate sana kama wao kiasi cha kuiba picha za sehemu nyinginewe huoni design hio station tv ya tanzania boya wewe😂😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 875616View attachment 875617View attachment 875619
sipati picha siku hiyo bullet train ya kwanza EA itakavyokuwa launched, wakenya watahama huu uziwe huoni design hio station tv ya tanzania boya wewe😂😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 875616View attachment 875617View attachment 875619
hio ndio the modern electric bullet train in africa na itakua na highly advanced technology systemssipati picha siku hiyo bullet train ya kwanza EA itakavyokuwa launched, wakenya watahama huu uzi
Izo treni zinazokuja Bongo lazima mpate duodenal ulcerseBay Rudisha picha za nchi zingineView attachment 875612
Hehehe....sasa hiyo treni wewe unaona kama ni ya kubeba mizigo? Wabongo mnadanganyika kirahisi.Izo treni zinazokuja Bongo lazima mpate duodenal ulcers
kwan uliambiwa hakutakua na ya kubeba mzigo??? ushauri mwingine onana na daktari kabla hujaja jamii forum😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hehehe....sasa hiyo treni wewe unaona kama ni ya kubeba mizigo? Wabongo mnadanganyika kirahisi.