Kwa Dodoma hii imefaa sana,
Tunahitaji hosp kama hizi kila mkoa...
Tukiondoa dhana ya hospital ya taifa basi kwa upande wa afya tutakua tumeweza. ..
Inafaa kila hospitali itoe huduma za juu kabisa...esp zile za mikoa...hospital za wilaya ndio died ziwe na General wards na specialist wawepo japo najua kuna safari ndefu kufikia hapo
Nadhani Kwa hapo, Ukijumlisha na Zonal Referal Hospitals kama Mbeya Referal, KCMC na Bugando Hospital, ukiongeza na Hospital za Rufaa za Mikoa na wilaya walau Kwa Miundombinu tupo somewhere!
Ila tunahitaji more skilled Labour kwenye njanja yote ya Afya,
Apart from Benjamin Mkapa,
Hapo Dodoma Kuna Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, with good facilities,
Pia kuna Hospitali Ya University of Dodoma,
Well equipped and Very modern as well
Pia Kuna Dodoma Christian Medical Center, DCMC
A very well organised Modern Hospital,
Hizo ni baadhi tu ukiacha zile za wailaya Kama Makole Hospital, Mvumi Hospital, pamoja na ile psychiatric Hospital Milembe