Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna vitu vingine jaman embu vipeni kisogo, kwann tusistick na battle pekee...Au tumeshamaliza kila kitu tumeshiba sasa
comrade i think you have observed something very strange from kenyans in this battle.

they act so angry whenever we tease them with stuff they don't own. it tells how jealousy these kenyans are.
 
na siku ukiletaushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forum
Tan house palepembeni
Screenshot_2018-06-25-10-41-26-73.jpeg
 
civil engineer alijenga hicho kipande cha barabara bila shaka ni mkenya aliyeenda noirobi university kusomea ujinga.
Hahaha, hii kila siku Mimi huwa nasema,
Elimu ya Kenya inalenga kufundsha Wakenya Kuzungumza Kingereza kwa Ufasaha,
Nothing else,
Mejengo yanaporomoka na kuua mamia on Monthly Bases,
Naskia tena mchina nae kafanya yake kwenye SGR, madaraja yanamegula spontaneously.. Mungu awaepushe kwa kweli, we are tired of casualties.
 
sasa zoom hapo unioneshe slum maana wewe hujui maana ya slum even look kila sehemu kuna road within that area sasa show me where is slum there😂😂😂😂😂👆👆👆👆👆👆👆
tena na mimi nilitaka kumuambia hivyo hivyo.
 
Hahaha, hii kila siku Mimi huwa nasema,
Elimu ya Kenya inalenga kufundsha Wakenya Kuzungumza Kingereza kwa Ufasaha,
Nothing else,
Mejengo yanaporomoka na kuua mamia on Monthly Bases,
Naskia tena mchina nae kafanya yake kwenye SGR, madaraja yanamegula spontaneously.. Mungu awaepushe kwa kweli, we are tired of casualties.
hahahaha...kingereza kingi ilhali wachina wamechukua ajira zao zote muhimu kwenye mradi wao wa sgr wakati kuzungumza sentence moja tu ya kingereza hawajui.

raha ya kingereza uwe financially stable sio kingereza mingi halafu unalala kwenye bedsitter.
 
Mambo yanaenda vizuri huku jomba,tunaongoza 3-0,This is Simba....
 
Back
Top Bottom