Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

t-zedi pia kuna Bentley???
Zipo Dar ,gari za watu flani tu hizi
tapatalk_1537596665073.jpeg
tapatalk_1536655546704.jpeg
 
Kwa hivo mtaweka bullet train na train ya kawaida on the same rail? 😀😀😀 and I thought Tuusan was smarter than the other nincompoops.😀😀😀
I think tusijiwazishe sana...tungoje tutaona...Tuombe uzima bro..but what I know treni ya mizigo haiwez kua sawa na ya abiria lazima iwe na sura ya kazi
 
Hahahahahaha teh teh teh teh teh teh teh teh teh,wewe jamaa ni kilaza ajabu freight trains na passanger trains za tz zitapita kwenye same rail kwa wakati tofauti na kwasababu ni ya kisasa hukutakuwa na shida yoyote kiufupi bullet train na hizi nyingine zinaingliana.
 
Kwa hivo mtaweka bullet train na train ya kawaida on the same rail? 😀😀😀 and I thought Tuusan was smarter than the other nincompoops.😀😀😀
Ndiyo zitapita kwenye same rail kwasababu zinaingliana,sawasawa wewe kilazio
 
I think tusijiwazishe sana...tungoje tutaona...Tuombe uzima bro..but what I know treni ya mizigo haiwez kua sawa na ya abiria lazima iwe na sura ya kazi
Ila muache kujipa sifa za ovyo msije mkajiaibisha. You need to research on these things. Hata Ethiopia wana electric SGR lakini muonekano wako sio wa bullet train. Bullet trains are commuter trains.
 
kwan nani kasema bullet train zitabeba mzigo ???? wewe unajifanya mjuaji sana wewe and u know nothing, kama unaumia umia tu😂😂😂
 
Ila muache kujipa sifa za ovyo msije mkajiaibisha. You need to research on these things. Hata Ethiopia wana electric SGR lakini muonekano wako sio wa bullet train. Bullet trains are commuter trains.
Ilo liko wazi bullet for commuters
 
Back
Top Bottom