Dar ndo jiji pekee ambalo ukibugi umepotea

Dar ndo jiji pekee ambalo ukibugi umepotea

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,319
Reaction score
83,201
Ukiona umeamua kuludisha mpira kwa kipa ukiwa ndani ya dsm basi ujue huko Uendako unabidi ukaze buti na kamba .

Maana dsm ndo jiji pekee Tz ambalo mtu mwenye kipato kikubwa na kidogo wote wanaishi.

Hakuna gepo kubwa kati ya walionacho na wasionacho.
DSM ndo kila kitu .
 
Maisha popote pale ila dar maisha ndio pa kuanzia hasaaa.....
 
Kuna mtu alileta uzi humu kwamba dar inawapotezea watu muda..nautafuta siuoni!!
 
Naunga mkono hoja.Katika Tanzania hii ukishindwa kuishi Dar sijui utaweza kuishi mkoa gani tena.Nishawaona watu wengi maisha yanawashinda hapa Dar na kukimbilia mikoani kwao, baada ya muda wanarudi tena.
 
Nawashangaa sana watanzania wanaosema eti dar maisha magumu. Ebullient nendeni hapo Nairobi mkajionee ugumu wa maisha .we unasema dar maisha magumu na wakati robo Tatu ya wakazi wake hawana vipato vya kueleweka na bado wanaishi vizuri tu.
 
Nina mpango Wa kwenda huko hivi karibuni vipi natakiwa nibebe nini na nini
 
Hata ukiwa na mshahara mdogo dar unaishi
...Dar kuishi ni kwa ku2mia akili tu
Asubuhi:Mihogo ya 500 na maji ya kandoro au ya bombs 50
Mchana:unaenda maeneo ya karibu na chuo wali wa buku shazii au kutokana na jinsi ulivyoshiba asubh kwa ile mihogo ya 500 iliyoliwa Saa 5 unaweza ukapiga pass ndefu
Jioni:unaweza piga chapati au ugali na dagaa maximum 1000 au 1500 au ukala vichwa vya kuku na miguu yake ..... usiku mwema kimya unapita nao!yani kwa Siku unaweza tumia 2500 tu.....I Love Dar na nimepamiss naamn nitarudi tu....
 
Hayo mawazo ya zamani, watu wako mikooani morogoro, mwanza mpaka kigoma wanaendesha miradi mikubwa ,
Kama kilimo cha umwagiliaji
Kilimo kikubwa huko singida
Ufugaji wa mifugo zaid ya maelfu huko arusha

Maisha ni popote ila Ishu ni mtu kushindwa kuwa mbunifu kulingana na fursa zilizomzunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom