Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,932
- 27,898
Leta any quality building kama umeamini that Kariakoo of yours๐๐๐karikoo kwa namna yoyote my friend huiwezi yani kwa namna yoyote ile๐๐๐๐๐๐๐๐
Leta any quality building kama umeamini that Kariakoo of yours๐๐๐karikoo kwa namna yoyote my friend huiwezi yani kwa namna yoyote ile๐๐๐๐๐๐๐๐
Umoja ina nyumba nyingi kushinda hako kakitu
Nimewaambia Kariako is overrated,the place has nothing tangible in it.Umoja ina nyumba nyingi kushinda hako kakituView attachment 865903
Naona mabanda tu ya bei hafifuUmoja ina nyumba nyingi kushinda hako kakituView attachment 865903
hehe.. hatari hiiUko sahihi mkuu ona kama Dodoma yaani ni upuuzi mtupu ....Dar ndio usiseme fika pale mwanyamala kwa kopa unaweza kupitapita vichoro ukajikuta unaingia chooni
Meaning tukipaint we have a kariokoo in Eastlands.Ugly paintless buildings
Hata Nairobi siyo proper city, ukienda sehem inaitwa ngara watu wanakunya mjini, ni uchafu, ukienda stard kaloleni, jogoo raod Maeneo yote ya shauri moyo, ni ugolo mtupu, hata nairobi siyo jiji, nenda Buruburu, Kayole sijui, nenda Umoo, hakuna kitu ni uchafu na slums tu, kote huko nimefika, na niapajua vizuri,
Katikati ya jiji la Nairobi watu wanakunya pembeni kule river road, koinange pembeni, kuna gaborone, hivo nimesehma hata nairobi ni mkusanyiko tena wa watu wachafu na wehu huko nairo na wakora
Unajua buruburu?? Ama nikuiskia unaisjianga. Tena hizo mitaa zote umetaja hapo ni mostly Eastlands sio Nairobi yote budaWe kweli huelewi unaongea nini.Hata Nairobi siyo proper city, ukienda sehem inaitwa ngara watu wanakunya mjini, ni uchafu, ukienda stard kaloleni, jogoo raod Maeneo yote ya shauri moyo, ni ugolo mtupu, hata nairobi siyo jiji, nenda Buruburu, Kayole sijui, nenda Umoo, hakuna kitu ni uchafu na slums tu, kote huko nimefika, na niapajua vizuri,
Katikati ya jiji la Nairobi watu wanakunya pembeni kule river road, koinange pembeni, kuna gaborone, hivo nimesehma hata nairobi ni mkusanyiko tena wa watu wachafu na wehu huko nairo na wakora
That's what I think when you show me Kariokoooohh my GOD uchafu huo uko nairobi serious![]()
Infact these guys just show as the density specs but when you gets to the streets Kariokoo is just a huge slumKariokoo is overrated, full of pathetic buildings packed closely.







๐ผ

Sasa hapo kuna slum gan... Hao c machinga wanauza vitu tu road.. Do you call that a slum.. Hapo hio road ina lami. Kuna sewage system nzur. Wana umeme na kila kitu na kuko plannedInfact these guys just show as the density specs but when you gets to the streets Kariokoo is just a huge slum๐ผ
View attachment 865926
hata kariakoo imejaa mabanda ya bei hafifu
Sasa ukiambiwa ukwel una catch-feelingshata kariakoo imejaa mabanda ya bei hafifu

hata tanzania pia kuna ma-squatter?! nilidhani kila mtu yuko na shamba lake na 'dream house' yake mwenyewe....Kimsingi majiji yetu yanakosa hadhi ya majiji. tusiwe tunamshambulia tu mleta mada. Tanga is just a town. Mbeya is also just ya town. Dar tatizo late squater na uchafu. Mwanza angalau. Arusha nayo tatizo lake squater. Dodoma is still a town like other towns like Musoma etc. Nchi hii watunga sera na sisi watendaji na raia tungepeleka nguvu kwanza kuimarisha miundombionu kwa amjiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ili zifanane na majiji ya wenzetu kuliko kuwa na majiji kibao ya masifa ambazo ikifika tu usiku wa saa nne hata kupata chakula ni shida. Nenda Tanga na Mbeya usiku wa saa nne tu kama pa kula hujapatafuta na tochi. Mwanza, Arusha na Huduma muhimu ya Chakula na Malazi unaweza kupata muda wowote but tatizo miji hii sehemu kubwa haijapangwa. Hili ndilo linachangiwa uchafu.