Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good morning
2018-09-14_08-26-42.jpg
2018-09-14_08-24-30.jpg
 
Attachments

  • 2018-09-14_08-33-11.jpg
    2018-09-14_08-33-11.jpg
    60.1 KB · Views: 24
  • 2018-09-14_08-26-05.jpg
    2018-09-14_08-26-05.jpg
    52.5 KB · Views: 25
  • 2018-09-14_08-28-57.jpg
    2018-09-14_08-28-57.jpg
    73.3 KB · Views: 25
  • 2018-09-14_08-33-11.jpg
    2018-09-14_08-33-11.jpg
    60.1 KB · Views: 22
Nairobi is a Proper City.
jaribu kutembea tembea angalau kisha ulete mrejesho. kama hauna tikiti useme tukufanyie mchango.
Hata Nairobi siyo proper city, ukienda sehem inaitwa ngara watu wanakunya mjini, ni uchafu, ukienda stard kaloleni, jogoo raod Maeneo yote ya shauri moyo, ni ugolo mtupu, hata nairobi siyo jiji, nenda Buruburu, Kayole sijui, nenda Umoo, hakuna kitu ni uchafu na slums tu, kote huko nimefika, na niapajua vizuri,
Katikati ya jiji la Nairobi watu wanakunya pembeni kule river road, koinange pembeni, kuna gaborone, hivo nimesehma hata nairobi ni mkusanyiko tena wa watu wachafu na wehu huko nairo na wakora
 
Hii ya kunya hovyo sasa Ni tabia gani hii
 
umebadilisha mada tayari😂😂😂😂 tumetoka kwenye town sasa tumekuja kwenye estate😝😝😝😝😝
I have been telling you here everyday that you are brainless na huelewi, nilisema tunalinganisha estates. Kitu nimegundua na wewe huwa unareply some comments even before uzisome.
 
sasa hzo building tatu tena zenye 6 floors unakuja kumuekea nani hapa mm nakwambia hakuna sehemu yoyote east and central africa unaeza fananisha na kariakoo hakuna na haitatokea😂😂😂👆👆
Umekubaliwa kuota mchana.
 
sasa hzo building tatu tena zenye 6 floors unakuja kumuekea nani hapa mm nakwambia hakuna sehemu yoyote east and central africa unaeza fananisha na kariakoo hakuna na haitatokea😂😂😂👆👆
Kariakoo ni uchafu tu, hakuna attractive building uko.
 
Back
Top Bottom