Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,950
- 27,917
Hayo ni magari ya biashara.Izo probox mnazipenda sana Kenya? Huwez ona picha yenye magar NBO uikose![]()
![]()
Hayo ni magari ya biashara.Izo probox mnazipenda sana Kenya? Huwez ona picha yenye magar NBO uikose![]()
![]()
so hutaki tupambanishe towns umebadilisha mada😂😂😂😂Leta estates kama umejiamini😂😂😂
Leta estates nakungoja 😂😂
oohh my GOD uchafu huo uko nairobi serious🙄🙄🙄🙄
We have been comparing CBD's here everyday, leo nataka tutoke nje ya CBD kidogo.so hutaki tupambanishe towns umebadilisha mada😂😂😂😂
upanga iko wapi hapo tuoneshe😂😂 naona umeanza kuchanganyikiwahehe sasa picha zile zile za upanga zimekua karikoo watanzania mnasahau kama nzi![]()
![]()
Unajua sana kujihamiHayo ni magari ya biashara.
Come on, how can you compare this to westlands
yani hata kwa CBD hutoboi utajitekenya kisha utacheka tu😂😂👆👆👆We have been comparing CBD's here everyday, leo nataka tutoke nje ya CBD kidogo.
huyo ni mmoja wa vilaza wakikenya😂😂😂😂😂😂Unajua sana kujihami
The way you are behaving i can conclude that you don't have any estates. Hapo mmchapwa 10-0yani hata kwa CBD hutoboi utajitekenya kisha utacheka tu😂😂👆👆👆
wewe huwez kua na akili mpaka uwe jasiri kwanza umeniambia umeleta porojo ya kujua town zikibambanishwa nikakwambia lugha nyepesi list ur 10 town ww unazoziamini na mm nilete zangu alaf tupambanishe sasa hvi umeona kule umekaia kuti kavu umehamia kwenye estate labda nikufundishe kitu tanzania kila mtu hujenga nyumba yake kwenye kiwanja chake yani kumiliki kiwanja its not a big deal na mtu kujenga nyumba yake pia so ulitegemea mm niache kuishi kwenye nyumba yangu nikakae kwenye estate wakat most estate of kenya ni nyumba za kupanga au unabisha😝😝😝👆👆👆The way you are behaving i can conclude that you don't have any estates. Hapo mmchapwa 10-0
I can't give Kariakoo any respect, tuliwaambia mlete any respectable building in Kariokoo mkajam.sasa naona heshima kwa kariakoo imepatikana😂😂😂😂😂 jaribuni kwengine sasa
karikoo kwa namna yoyote my friend huiwezi yani kwa namna yoyote ile😂😂😂😂😂😂😂😂I can't hive Kariakoo any respect, tuliwaambia mlete any respectable building in Kariokoo mkajam.