Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aise huko mbele mtakuja kulia na kupata hasara sana hii ni kwa sababu Tanzania ikipata hio route wateja wenu watapunguza sana plus watalii mnaokuwa mnawaleta tanzania nao mtawakosa
hapa walipo wanaendesha hasara miaka mitano mfululizo kwasababu wapinzani washakua wengi na direct flight zishakua nyingi sana
 
Wacha kulinganisha westy na upuzi,hii ndio ligi ya kariakoo
14805094921_dca5f4d18b_b.jpg
 
Westy siilipigwa na Upanga jana hapa kariakoo itaftie mpinzani mpya ambae wanamatch
Onyesha mahali westy illipambana upanga...ilikua westy vs posta, kilimani vs upanga, kijitonyama combined
 
Tuwe wakweli bado Tanzania majiji tunayoita majiji hayana hadhi ya kuitwa majiji,

Ona mfano
Tanga,
Mbeya
Mwanza
Arusha
Dodoma
Dar es salaam,

Kwa ambao bado hamjatembea tembea mtanibishia lakin ukweli jiji inabidi angalau
1.kuwe na miundombinu bora, siyo mvua inanyesha unakuta drainage system zote ovyo, wahindi wanapata pakutapishia,

2. Kubwa zaid jiji inabidi liwe safi na limepangwa vema,

Lakin kwa majiji yetu unakuta slums, uchafu, nyumba kama viberit,

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji ila ni mikusanyiko ya watu tu na magari katika maeneo kadhaa
hahahahahaaa.... Watanzania wamezoea kulishwa matango pori.... 😀😀😀
 
Na huyu tukimhoji vzr atataka kutaja Capetown, Nairobi na London, alimradi tujue amesafiri
Nairobi is a Proper City.
jaribu kutembea tembea angalau kisha ulete mrejesho. kama hauna tikiti useme tukufanyie mchango.
 
Back
Top Bottom