Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe kwa kichwa chako kariakoo ndio inawachocha.......lol.huwa mnachekesha.......ni exposure to non ldc cities ndio huwa mnakosa.........Nairobi is really big my friend......those arent rumours....and developed.....
big? based on what? the number of slums? because if that's the case, dude you are CHAMPIONS
 
Ni
mi hushangaa différence ya kariokoo na downtown OTC nigani? Because advantage ya Kariokoo ni imepangwa vizuri but on the ground Kariokoo ni takataka tu.View attachment 863287View attachment 863288
Ni ushuzi tuu kulinganisha hiyo Downtown na Kariakoo, weka akilini kwamba Kariakoo ni largest business district East and Central Africa nzima

Kariakoo yenye mitaa zaidi ya 30 unataka ufananishe na takataka hiyo, huu ujinga sasa
 
skia huyu mangaa Kitengela,Githurai45,Siokimau,Mombasa road,Ongata rongai,Ruiru & Mavoko kwani ni urban area ya wapi! Sasa nikama uniambie ju posta haiko kijitonyama huko sio dar, thats how stupid you sound. Fika Nairobi wacha kujifanya mjuaji.
You want to say Machakosi is within Nairobi😂😂😂😂
 
habari ndio hiyo. kama hamtaki mezeni wembe.

Screenshot_2018-09-11-21-21-26-444_com.twitter.android.jpg
 
skia huyu mangaa Kitengela,Githurai45,Siokimau,Mombasa road,Ongata rongai,Ruiru & Mavoko kwani ni urban area ya wapi! Sasa nikama uniambie ju posta haiko kijitonyama huko sio dar, thats how stupid you sound. Fika Nairobi wacha kujifanya mjuaji.
Get to know about Machakosi😂😂😂
Screenshot_20180911-213230.png
 
Hii battle ikiisha mnitag nije nimpe mshindi zawadi
subiri ifike 2025.
wakenya wametumia kila mbinu kumshawishi moderator afunge hii thread, mod kagoma. tangu january 2017 mpaka leo thread bado ina trend.

wakenya hawana hamu na squad ya tz iliyowekeza ktk thread hii.

tanzanian till i die.
 
you only developed your cbd ....mkasahau residentials kabisaa.....wewe vuka tu hapo namanga ujionee maendeleo ya ajabu.......utarudi kwenu kimya kimya huko ldc
Hahahahaha, umeshapitia Lungalunga border uone aibu ya Kenya?, hata barabara inayounganisha nchi jirani hamuwezi tengeneza, kweli ninyi ni failed State
 
Kajipange uludi kivingine😂😂😂 Kama vipi uinyonye😂😂😭😭View attachment 863358
hawa watanzania kweli ni exposure shida......athi river is in machakos county but its just next to kitengela near syokimau which borders jkia............metro ya nairobi inawauma but thats the truth .......the estimated metro population is 8 million plus
 
Back
Top Bottom