Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

zipo nchi nyingi kwa mkenya kutafuta uraia. nazo ni somalia, south sudan na ethiopia. lakini huko kote hawakutaki ila wamechagua tanzania, jiulize kwanini. ukipata jibu kaa nalo.

btw huko "labour room" ndio wapi mwasiti?.

ni labor room na sio kama hivyo ulivyoandika wewe. kilaza wahed.
Kuna Nchi nyingi sana omba omba wenu wanaweza kuenda kutafuta hela za kuomba ila zote ispokuwa Kenya ni LDC
 
Dar ni hizo buildings tatu...note vile ziko kwa kila Picha the rest ni ile 92% slum Ichoboy 01 nikuwekee Kijitonyama suburb?
Hii
34843373895_0be0416263_b.jpg
 
Dar ni hizo buildings tatu...note vile ziko kwa kila Picha the rest ni ile 92% slum Ichoboy 01 nikuwekee Kijitonyama suburb?
speaking of slums, last time i checked, your country's capital had Africa's list of worst slums filled up
 
Last time I checked, Dar wa 92% slum.

Let's take a tour of the world's biggest slums:
  • Khayelitsha in Cape Town (South Africa): 400,000.
  • Kibera in Nairobi (Kenya): 700,000.
  • Dharavi in Mumbai (India): 1,000,000.
  • Neza (Mexico): 1,200,000.
  • Orangi Town in Karachi (Pakistan): 2,400,000.
 
Haha kibera Ni jiji ndani ya jiji

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom