RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,884
- 129,916
Sasa hapo kuna nini cha ajabu? Nchi gani Afrika haina watembea kwa miguu au waliobeba mizigo kichwani? Vipi umeona hio barabara ilivyokuwa safi?Hata hii utapata kimtu kinapinga ni Nigeria na ukiangalia background unaona vizuri hizo vitu wao hupost hapa hadi unajiuliza kwani wanaishi kwa hewa.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 854395View attachment 854396View attachment 854397
Sent using Jamii Forums mobile app
