Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa mkuu mfano Kenya inaonekana ni nchi yenye uchumi ulioimarika lakini watu wake hawawezi kumiliki ardhi isipokuwa wale matajiri ndio waliojilimbikia ardhi, Afrika kusini kuna sehemu watu wake wanaishi ktk umasikini uliokithiri vurugu kila siku na kuuana.
Bora tubaki na umasikini wetu wenyeamani na kupendana

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
ndugu, usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mtandao.
huwezi fananisha Kenya na Tanzania. Makosa!
Kenya ni level nyingine kabisa.
 
Ningekua bado mwanafunzi mayb ningekuuliza apo UoN kunazidi nn UDSM lakin mm ni expert sahv niko na kazi zangu mambo ya watoto hayo,hata ivyo kwa upande wa elimu ya juu hamna kitu mnatuambia izo ranking ni ups n down zakawaida
Upande wa nyumba hapana Nbo hakuna kitu ya maana kwakwel...kidogo ungezungumzia planning maybe
Hivi ukisema nyie ni business hub sie tunategemewa na nchi mob kibiashara to name few Congo, Zambia, Burundi, Rwanda, n sometimes Uganda,Zimbabwe hapo bado TZ yoote inategemea Dar bado

Sent using Jamii Forums mobile app
The fact will remain a fact hata ujidanganye. Nairobi Houses Majour international & Regional Companies HQs na bado its crucial to this regions economy some local kenyan companies are even in Tz na usijifanye hujui.

Kenya has the most vibrant economy in East Africa, and Nairobi is the main commercial center of the country. Nairobi has a well-developed infrastructure, including modern financial and communications systems. Leading domestic (Kenya Commercial Bank) and international banks (Barclays, Citibank, Standard Chartered) operate out of Nairobi. Kenya also has a relatively well-developed industrial base, which accounts for some 20 percent of the gross domestic product (GDP).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
buda...!!!!

we've too a national indoor stadium spesfic for basketball and boxing events
iko karibu na national stadium

FYI, kuna project inaendelea ya uwanja wa taifa ambapo kutakua na comprises of National stadium, Uhuru stadium, National Indoor and National Theatre hapo pia kutakua na swimming pool ( Olympic Standards )
Ok but for now,we are the trend!...
 
We jamaa sikia, watumishi wa serikali ni 600+K tu na tuko zaidi ya 55M sasa sekta binafsi ndio iko na watu wengi zaidi achilia wale ambao hawajaajiriwa wanafanya biashara zao wenyewe ...
Kama unahisi makampuni yameishia apo Kenya bado utakua na utahira ,makampuni ya simu tu yameajiri vijana kibao,viwanda na makampuni mengine kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda na makampini ziko mingi kenya na watu pia wameajiriwa but the difference is education hights & experience matter alot in kenya. There are by far many graduates in kenya compared to Tanzania but employment is low due to occupation so people are now venturing in self employment. Hio ndio difference sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I just have this nagging question,what is the significance of a stadium without basic amenities like indoors arena?if every-time you want to have a swimming competition you have to go to Indian ocean!...yes it is a beautiful stadium!..we dont deny that,but is that why you built your stadium?..how many times have you held international competitions in tha t beautiful stadium?..c'mon lazy people style up and mark your priorities!..damn!
 
Hatuijui hata ujerumani iko wapi wala lugha ya kijerumani. Tunaongea kiswahili kijana.
Nyie bado mpo chini ya uongozi wa wanawake toka UK. Queen Elizabeth na Theresa May kataa nithibitishe.
basi tuko wengi including USA,India,South Africa,Nigeria,Kenya, Egypt na Canada.
Nyinyi mlitawalwa na inchi ya ufala sana na ndio maana Ethiopia the Uncolonized country iko mbele kuwaliko. Yani sijui ni ugonjwa gani inawasumbua nyinyi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
basi tuko wengi including USA,India,South Africa,Nigeria,Kenya, Egypt na Canada.
Nyinyi mlitawalwa na inchi ya ufala sana na ndio maana Ethiopia the Uncolonized country iko mbele kuwaliko. Yani sijui ni ugonjwa gani inawasumbua nyinyi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unajisifia kutawaliwa? Shame on you.
😡😡😡
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ukitaka kujua umewaweza utaona wanapost Pic za Kibera hapa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiweka picha moja tu humu mnakimbia
 
Iko dar metropolitan development project (DMDP) Ilianza 2015-2020 mradi wa $600M
Dec tunalauch 2&3phases za BRT $140,$160M respectively
Kinyerezi power plant ni mradi endelevu so ngoma hailali
Ujenzi wa madaraja unaendelea baada ya tazara na ubungo ziko project za mwenge,Morocco, chang'ombe, Magomeni...
mto msimbazi kujengewa kingo and list goes on...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pinnacle pekee inacost $194M(minor project) bado tujaweka phase 2 ya SGR,Tatu City,Mombasa road express way, etc.... Yani tukicombine projects za buildings Pekee tunajaza budget yenyu yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta is a governor, representing UK.
Unabisha? Kama unabisha niambie who own kenya land?
Nkt! Kama hauna evidence backing up hio porojo yako get lost. Kenya had two constitutions the Old & The new! Kwa hizo mbili hakuna mahali imeandikwa the kenyan president is a governor to the British monach!
Kwanza the new Constitution is abducted from the US Constitution. Sasa uhuru amekuaje Governor wa Britain yet hawatumii hio system ya ugovernor???? You must be crazy buda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom