Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1535896587.946123.jpg
IMG_1535896602.149089.jpg
 
projects zetu ziko ns value because they set the Pace! Kama tungekuwa tunajenga projects za kijnga basi mngekuwa mbele yetu in the past & now but we are sorry mtazidi kuvuta mkia my friend

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuvuta mkia tz ni kitu mnapenda kuwaza,but sorry hii ni kitu haiwezekani.nimeona sehemu ukisema pineacle ikichomoza utafanya sherehe,ni kama kusema ni siraha pekee inayokupa hope????
 
very true....by 2020 we are poised to cross th 100 Billion mark...ni nchi 5 tu ambazo zimefika hapo so far...also, Pinnacle and Avic should be penetrating the skyline...hopefully we will have montave too
mzee wa pinnacle toka mwaka jana unakumbuka lakini😂😂👆👆👆👆
 
tuwape miaka mitatu wakat kibera iko kwenye top 5 ya biggest slum in the world toka dunia imeumbwa mpaka itakapokwisha😂😂😂👆👆
 
You guys hamko serious yani the pace of your streets just show how lazy you guys are yani hamna shuguli kuzaana kama mapanya ndio shuguli yenyu ebu ona vile serious cities be like.. then compare.

NAIROBIANS

View attachment 854510View attachment 854512View attachment 854514View attachment 854519View attachment 854527

BONGOLALAS
View attachment 854535View attachment 854537View attachment 854538View attachment 854540View attachment 854542View attachment 854545

Uzembe itawamaliza nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
AE2AB4D1-6579-434A-A4F4-8E8334A8254D.jpeg
69E25868-18A5-4617-907B-1C9FC4122EBA.png
07435F3F-60B7-4531-8608-C714BF1255DE.jpeg
 
Hata hii utapata kimtu kinapinga ni Nigeria na ukiangalia background unaona vizuri hizo vitu wao hupost hapa hadi unajiuliza kwani wanaishi kwa hewa. View attachment 854395View attachment 854396View attachment 854397

Sent using Jamii Forums mobile app
Naimani wewe Ni kilaza
hivi hizo picha kwako zinashida ipi
kwanza mie nimezipenda ile mbaya
picha zinajibeba zenyewe
Angalia chini palivyo safi
angalia kina mama walivyo valia uhalisia wa Mtanzania
Endelea kuzipost Itapendeza sana tu
 
Naimani wewe Ni kilaza
hivi hizo picha kwako zinashida ipi
kwanza mie nimezipenda ile mbaya
picha zinajibeba zenyewe
Angalia chini palivyo safi
angalia kina mama walivyo valia uhalisia wa Mtanzania
Endelea kuzipost Itapendeza sana tu
heri ya huyo mama kabeba samaki kwenda kufanya biashara kuliko mkenya mwizi alaf anakamatika anapoteza uhai wake
 
Leo naonelea instead of kujirudia rudia na kugombana lets debate on different stuff like the uniqueness of both citie Nairobi & Dar. Kuna kitu moja spacial iko Dar that you don't see in any other City in The world same to Nairobi. A culture that defines the city.
In Nairobi we see these beasts roaming the streets called Manganya. Talents are expressed in the city through the Industry. And has created employment for thousands of youths allover the city.
FB_IMG_15358998860915813.jpg
FB_IMG_15358999724526884.jpg
FB_IMG_15359001022148380.jpg
FB_IMG_15359000050318994.jpg
FB_IMG_15359000394854513.jpg
FB_IMG_15359002798477635.jpg
FB_IMG_15358999340494819.jpg
FB_IMG_15359003538290893.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo naonelea instead of kujirudia rudia na kugombana lets debate on different stuff like the uniqueness of both citie Nairobi & Dar. Kuna kitu moja spacial iko Dar that you don't see in any other City in The world same to Nairobi. A culture that defines the city.
In Nairobi we see these beasts roaming the streets called Manganya. Talents are expressed in the city through the Industry. And has created employment for thousands of youths allover the city.
View attachment 854690View attachment 854694View attachment 854695View attachment 854696View attachment 854697View attachment 854698View attachment 854699View attachment 854700

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kujikumbusha mambo yenye maana kwa wananchi😂😂😂😂👇👇👇👇
tanzania
48B1D518-A495-41FD-A345-B4E1320B5F47.jpeg
2DD6489C-B847-4C4D-96B6-ACC21BD57701.jpeg







south africa
CF8003F5-90E5-40DE-A21C-380B1F31A089.jpeg
25F77E2D-0F7C-4687-B5CB-9C027E55A6F7.jpeg








nigeria
9F2CB9B1-EF93-4851-9CA3-3ABF5B7E6514.jpeg
38EC71B7-880A-4752-B178-5583AB529A14.jpeg








kenya failed state😂😂😂👇👇👇
walijua BRT ni kama kula bajia tu
97F055B3-2263-4868-B2DF-3FB0CD78B975.jpeg
0167D70F-11E5-469A-BB5C-9C8E92CB7D3E.jpeg
 
Back
Top Bottom