Punguza bangiMtu Akipita pale UDSM achukue photos za the Largest and Modern Library in East Africa,
Nilipita last two weeks kwenye Gari nikaona almost Imekamilika,
Let's show these thieves how we do things, we came from ashes and now we are being seen, only Hard work, Not foreign support like our Northern Bootlicking Brothers, Umbwa wa Wazungu.
Jengeni barabara muwache kupitia vichakani
The Hard Work is Reflected in Many Aspects, one being Food Security, If not Tz, u probably could've been dead of Starvation,
Ichoboy na nduguye Annabel wameanza kuona ukweli. Huyu mwingine hatambui the game is over he's like a drowning man clutching on a straw
Hawa watu tunawapa a dose of their own medicine. Hakuna vile you will always keep dragging Kenya and NBO to your shenanigans wakati sisi tumetulia tunajizingatia.
KITAELEWEKA
wewe kijanaThe Hard Work is Reflected in Many Aspects, one being Food Security, If not Tz, u probably could've been dead of Starvation,
Tanzania Feeds Kenya, Bila Tz sijui mngeishije nyie jamaa. Hata hako kauchumi mnajivunia kamechangiwa na hivyo viwanda vya Wahindi vilivyojipatia soko Tz, not things are changing , u need to wake your ass up.
Please be reminded that, while Kenya opens her border with Ethiopia juzi, kwa barabara ya msaada, Tz is connected with 8 countries, kote tulishafungua, Yaani Zambia, Kenya, Uganda, Malawi etc mipaka yote ishafunguliwa kwa barabara za lami,Jengeni barabara muwache kupitia vichakani View attachment 818097
Presha inakupanda kama nonsense.Please be reminded that, while Kenya opens her border with Ethiopia juzi, kwa barabara ya msaada, Tz is connected with 8 countries, kote tulishafungua, Yaani Zambia, Kenya, Uganda, Malawi etc mipaka yote ishafunguliwa kwa barabara za lami,
From Dar to kigoma over 1600km, Tarmac,
From Dar to Mwanza 1300KM, Tarmac
From Dar to Mbeya and Zambia and Malawi and Congo 1000km Tarmac
From Dar to Mtwara 500km to Mozambique tarmac
From Dar to Arusha to Taveta to Kenya Tamac
From Dar to Tanga to Mombasa Tarmac na barabara zote zinazounganisha wilaya,
Forget those stats from someone ass, just be reminded that we are now at 15000Km paved roads
Regency Hospital, One of the Largest private Modern Healthcare Facilities in Dar
View attachment 818085View attachment 818086[/
this is Dar es salaaam, ni muda wetu sasa tumeamua na tunaendelea kutekeleza
najua mna hali mbaya sana maana tuliwalea kwa muda mrefu sana tupo kiuchumi zaidi sasa! TUNAJUA INAWAUMA SANA!wewe kijana View attachment 818105
Wewe you can make a very good stand up comedian pale Churchill Shownajua mna hali mbaya sana maana tuliwalea kwa muda mrefu sana tupo kiuchumi zaidi sasa! TUNAJUA INAWAUMA SANA!
HUJIELEWI, UTAKAPO ELEWA UTAKUWA UMECHELEWA SANA.Wewe you can make a very good stand up comedian pale Churchill Show
Endelea ku practise vivi hivi
Barabara za Tanzania zimewekwa kwa makundi tofauti tofautiJengeni barabara muwache kupitia vichakani View attachment 818097
unachekesha kweliKuwe na TANZURA, TARURA au TARIMBOBarabara za Tanzania zimewekwa kwa makundi tofauti tofauti
TANROADS
TARURA
TANROADS wana deal na Barbara kubwa hususani zile ziungazo TZ na nchi jirani, Mkoa na Mkoa, Wilaya to Wilaya mostly ya hizi barabara hujengwa kupitia vyanzo mbalimbali where serikali akiwa chanzo kikuu
vyanzo vingine ni misaada ya mashirika na mataifa ya nje ya nchi, Banks, n.k
Wengine ni hawa wakuitwa ROAD FUND, wao nao wana baadhi ya Kms ambazo wanazifadhili kwa barabara za TANROADS
TARURA wana deal na barabara ndani ya Miji, Halmashauri, Wilaya, Kata n.k kazi yao ni kuhakikisha barabara inayounganisha Wilaya hadi Wilaya na ndani ya Wilaya zinakua kwa kiwango kizuri yaani cha lami
Wote hao wana idadi yao binafsi ya Kms
Sasa we kila siku unaleta idadi ya barabara zinazofadhiliwa na ROAD FUND ukijua ndo Barabara za Tanzania nzima...![]()
unachekesha kweli
Tanzania ni kubwa mno, na kuhusu mtandao wa barabara si jambo la kuzingumzia kabisa we've thousands of Kilometres with tarmac
kwahiyo mzee sijui mdada masikini ya Mungu umelurupuka kila siku na bango lako la Road Fund ukidhani ndio wajengaji wa barabara za Tanzania nzimaa...
umechelewa nduguPresha inakupandaHUJIELEWI, UTAKAPO ELEWA UTAKUWA UMECHELEWA SANA.