Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you even get what i was talking about. scam bag?? I was busy addressing American & british architecture to Nairobi in relation to Dar's Useless architecture Kama huelewi kizungu uliza usaidiwe buda

Sent using Jamii Forums mobile app
ahahhahaha umebadilisha gear angani hongera yako😂😂😂👆👆👆👆

munapenda vya watu wakati ndoto ya kua navyo hamuna kama mugabe alivosema hakukosea😅😅😅😅
 
That's what losers are popularly known for: lame excuses.
Kenya is not independent yet. Owned by Queen Elizabeth and Theresa May. Your country owned by English women
 
mbagala kijichi dar es salaam
3231664F-113B-40C7-8B38-559F4E0E307C.jpeg
 
unapoongea toa na ushahidi sasa niletee economy ya nairobi na dar nasubiria source official tuanze hapo alaf tuchambue kimoja baada ya kimoja
Kenya has the most vibrant economy in East Africa, and Nairobi is the main commercial center of the country. Nairobi has a well-developed infrastructure, including modern financial and communications systems. Leading domestic (Kenya Commercial Bank) and international banks (Barclays, Citibank, Standard Chartered) operate out of Nairobi. Kenya also has a relatively well-developed industrial base, which accounts for some 20 percent of the gross domestic product (GDP).

As of 2018 estimates, Kenya had a GDP of $85.980 billion making it the 69th largest economy in the world. Per capita GDP was estimated at $1,790.
Do the maths.
Alafu sasa niletee ya Dar

leta ushahidi official source kwa unachokiongea maneno ya vijiweni waachie watoto wadogo wewe niletee ushahidi wa maneno yako 😂😂😂👏👏👏👏👏

narudia tena niletee official source ya economy ya nairobi na dar😂😂👆👆
 
Acha porojo dogo asa hivi wanyama ni mwendo wa benchi tu,ngoja tumuone leo kama ataanza 1st eleven!
Wapi porojo hapo? Hao wenye nimetaja hapo kwani wako na how many goals among them this season? Hati mwingine anakuja hapa na sijui Genk😂😂😂, Genk ni nini? Wanyama is a holding midfielder so don't expect him to have a lot of goals.
 
Hayo maendeleo ya kenya ni yap sasawakat most of you hata kazi Hamna na uchumi wenu uko kwa wadosi kadhaa tu wengi wenu mnafunza

Sent using Jamii Forums mobile app
Our economy can be bad according to our Hights! But not pathetic as yours. We know we deserve better.
When you say most of us hatuna kazi then you must be kicking, this is a capitalist Country, we depend very little on the government, people in kenya are mostly self employed and financially independent sio kama nyinyi Government ndio kila kitu. There are so many privately invented companies which produce millionaires Daily in Kenya na ndio maana nyinyi ni LDC na sisi ni MDC so stick to your lanes men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see umeanza kupinga facts! But I will make you eat your words. Naona unapinga...
*Education
*Business.
*Building infrastructure
Hya basi answer the following
1. Between Nairobi University & UOD which one has the highest performance rankings???
2. Business surely!! Ebu jiulize how many international companies Hqs both regional & international are in Nairobi then compare it to Dar/Kampala/Addis/Kigali/Burundi. Alafu uniletee feedback.
3.Which City has the Most expensive, Modest, Sophisticated and Diverse building architecture in the region.

Ukijijibu hizo swali then you'll realize how behind you guys are.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekua bado mwanafunzi mayb ningekuuliza apo UoN kunazidi nn UDSM lakin mm ni expert sahv niko na kazi zangu mambo ya watoto hayo,hata ivyo kwa upande wa elimu ya juu hamna kitu mnatuambia izo ranking ni ups n down zakawaida
Upande wa nyumba hapana Nbo hakuna kitu ya maana kwakwel...kidogo ungezungumzia planning maybe
Hivi ukisema nyie ni business hub sie tunategemewa na nchi mob kibiashara to name few Congo, Zambia, Burundi, Rwanda, n sometimes Uganda,Zimbabwe hapo bado TZ yoote inategemea Dar bado

Hakuna kitu umejibu hapo hata moja, you have set own questions then ukazijibu.
 
Our economy can be bad according to our Hights! But not pathetic as yours. We know we deserve better.
When you say most of us hatuna kazi then you must be kicking, this is a capitalist Country, we depend very little on the government, people in kenya are mostly self employed and financially independent sio kama nyinyi Government ndio kila kitu. There are so many privately invented companies which produce millionaires Daily in Kenya na ndio maana nyinyi ni LDC na sisi ni MDC so stick to your lanes men

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa sikia, watumishi wa serikali ni 600+K tu na tuko zaidi ya 55M sasa sekta binafsi ndio iko na watu wengi zaidi achilia wale ambao hawajaajiriwa wanafanya biashara zao wenyewe ...
Kama unahisi makampuni yameishia apo Kenya bado utakua na utahira ,makampuni ya simu tu yameajiri vijana kibao,viwanda na makampuni mengine kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom