Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
nimecheka kikenya ckwa kuwapiga bao huko....
nimecheka kitanzaniaa tunatiisha wabongo...cheza na magu weyee ngoja ipite miaka kadhaa ndo mtatujua kuwa +255 c mchezo!!!!
Miaka zimepita na the only difference inaonekana ni nyinyi kubadi nyuma na Gap ikiongezeka.By next year sijui mtapeleka maskio wapi aky
Sent using Jamii Forums mobile app


