ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
πππππ asisahau na azam energytulikuwa hatujatilia maanani muda wote,sasa agiza pop corn uketi ukiona maajabu.
πππππ asisahau na azam energytulikuwa hatujatilia maanani muda wote,sasa agiza pop corn uketi ukiona maajabu.
Week iliyopita nilikua Nairobi kenya na kilichonipeleka ni business deal
Unajua nairobi kuna bidhaa nyingi mno na first class kushinda hata dar
Pamoja na hilo nilitumia siku moja kufanya manunuzi yangu ya kibiashara pamoja na madeals kadhaa ya biashara nilifanikisha
Nikapata siku mbili za kula bata na kutembea hii ni mara yangu ya kwanza kuwa nairobi but sio first time kuwa kenya nimewahi tembea sehemu nyingine za kenya mara nyingi tyu
Nije kwenye point kiukweli nairobi ndo jiji bora kabisa east africa jiji linavutia mnooo halafu vitu vingi na vitega uchumi vingi vipo nairobi na nairobi ina
"watu wako na pesa mingi "
Dar tuna ya kujifunza kutoka nairobi.Jamani Msije mkasema nimeifavour nairobi kisa nimeenda noo nimetembea pia miji mingine hapa east africa mfano nilishaenda kigali ni jiji lenye mvuto ila the best ni nairobi
ulitaka na sisi tuwe na gari moshi kama yenyu?Kwanini hii railway yenyu inakaa cheap hivyo![]()
![]()
kwani mnajenga ya mkoloni tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran!sijui ulimsikia nani akisema kuna jiji bora zaidi ya nairobi EA. Dar bado sana kwa Nairobi
endelea kuedit ππππππShukran!
hasira jumlisha na povu...What did you expect..nchi maskini kama nyinyi cant afford high quality infrastructure..and the construction phase looks cheap...remember..cheap is expensive..
Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha, nyang'au kapanichasira jumlisha na povu...![]()
![]()
sija-edit kitu jomba. wabongolala walitiririka humo na kusema ukweli wao wote.endelea kuedit ππππππ
ukiko wewe sisi tulishatoka hapoπ π π
endelea kuedit ndugu ili ujipe matumaini na kujipongezaπππππππsija-edit kitu jomba. wabongolala walitiririka humo na kusema ukweli wao wote.
pitia uzi huu uone jinsi mdosi wako/ waziri alivyotoa povu kwa jazba na kuagiza uzi huo ufutwe >>> I Agree With Tanzanian Minister. - JamiiForums
Naamin kitu pekee mkenya aliesoma kanizidi ni wizi mentality π πJe mbona tz inalag behind kenya in infrastructure,health,education,economy,uhuru....iwapo tanzania imebarikiwa na good arable land,minerals na resources..ilhali 60% of kenya is dry and arid...dont you ask yourself why??
Sent using Jamii Forums mobile app
sija-edit kitu mkuu.endelea kuedit ndugu ili ujipe matumaini na kujipongezaπππππππ
ukizidiwa kete/ maarifa, unasema ni wiziNaamin kitu pekee mkenya aliesoma kanizidi ni wizi mentality π π
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kulia tu kwa hasira na ghadhabuπππππππsija-edit kitu mkuu.
umepitia uzi huo lakini kuskia alichosema mdosi wako anayekulipa kila siku????
wizi ni sehemu ya maisha ya kila mkenyaππππππukizidiwa kete/ maarifa, unasema ni wizi
NAONA DALILI ZA MANYANGAU KUCHANGANYIKIWA, THIS IS TANZANIAthe modern marine transport in east and central africaππππππππ
![]()
![]()
![]()
hehehe hawa hawaamini wanachokiona leoππππππNAONA DALILI ZA MANYANGAU KUCHANGANYIKIWA, THIS IS TANZANIA
pole sana. sikutarajia povu kutoka kwakoendelea kulia tu kwa hasira na ghadhabuπππππππ