Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu mutalipa aje madeni??..knowing too well the average Tanzanian is poorer than his/her counterpart in Kenya with vastly different economies

Sent using Jamii Forums mobile app
phase one hakuna deni jamaa katoa cash my friend 1.2b usd

alaf phase two ujenzi ushaanza mpaka sasa hvi bado kuhusu mkopo kutangazwa 😂😂😂😂😂👆👆👆👆
mutalia machozi ya damu kama kaweza kununua ndege 7 mpya kwa pamoja vp hio SGR👏👏👏👏
 
Dar es salaam ni bandari kuu katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati tunahudumia mataifa ya DRC, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, ZAMBIA, MALAWI, ZIMBABWE NK, unadhani kwa mwingiliano huo wa mataifa Dar es salaam tutakuwa na pop. ndogo kama nairobi? acha mawazo finyu wewe nyangau
so what is your point exactly cos all yourv said that mna neighbours..kwani ulifunzwa kuwa kenya ni island ama??last time i checked the port of mombasa was the gateway to east and central africa...ama unropokwa tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es salaam ni bandari kuu katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati tunahudumia mataifa ya DRC, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, ZAMBIA, MALAWI, ZIMBABWE NK, unadhani kwa mwingiliano huo wa mataifa Dar es salaam tutakuwa na pop. ndogo kama nairobi? acha mawazo finyu wewe nyangau
alaf pia hawajui kama muhimbili ndio hospitali kuu ya malawi😂😂😂👆👆
 
so what is your point exactly cos all yourv said that mna neighbours..kwani ulifunzwa kuwa kenya ni island ama??last time i checked the port of mombasa was the gateway to east and central africa...ama unropokwa tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
unajidanganya ndugu yngu bandari ya dar inategemewa na nchi zaidi ya 7 na hata wataalamu wanakwambia gate away ya east and central africa iko dar 😂😂😂
 
utaelewa tu, pilipili inaliwa shamba wewe inakuwashia nini? dar tuna pop. ya appr. 6m nairobi hamwezi kushindana na sisi
nairobi haina zaidi ya population ya 4 million wakat dar kuna zaidi ya population ya 5 million
 
Nairobi cbd is so large.....several times than those towns i see everyday here
Screenshot_20180830-091127.jpg
Screenshot_20180830-091115.jpg
43233090141_3b4d119e12_o.jpg
Screenshot_20180830-092049.jpg
38639368796_085d28aa8c_o.jpg
43337651571_90f84b109f_o.jpg
39393570930_9bc9216da2_o.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 14805094921_dca5f4d18b_b.jpg
    14805094921_dca5f4d18b_b.jpg
    133.1 KB · Views: 25
tunayo ardhi ya kutosha tena inayozalisha .hivi unajua kama kenya inaingia mara mbili kwa tz??hupashwi kuwashwa kuhusu tz pop.
Je mbona tz inalag behind kenya in infrastructure,health,education,economy,uhuru....iwapo tanzania imebarikiwa na good arable land,minerals na resources..ilhali 60% of kenya is dry and arid...dont you ask yourself why??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunayo ardhi ya kutosha tena inayozalisha .hivi unajua kama kenya inaingia mara mbili kwa tz??hupashwi kuwashwa kuhusu tz pop.
tanzania is big twice of kenya land but population tanzania is 53.4million while kenya is 47million
😂😂😂😂
 
Je mbona tz inalag behind kenya in infrastructure,health,education,economy,uhuru....iwapo tanzania imebarikiwa na good arable land,minerals na resources..ilhali 60% of kenya is dry and arid...dont you ask yourself why??

Sent using Jamii Forums mobile app
tulikuwa hatujatilia maanani muda wote,sasa agiza pop corn uketi ukiona maajabu.
 
Ichoboy naona English ni tatizo kwako...i said existing proof that it already is the gateway to east africa...not assumptions..do you know the difference between potential and existing???????

Sent using Jamii Forums mobile app
dar es salaam is one of the fastest growing port in aftica na ukumbuke sasa hvi iko under huge expansion cost yake ni 350m usd wachina wako pale wanapiga kazi usiku na mchana na pia lazma ujua tanzani ina port zaidi ya 4 ambazo ziko active
 
Back
Top Bottom