Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda when it comes to traffic hakuna kitu unaweza tufunza. Tukianza ku compare busy roads in Nairobi! Ndio utajua kweli Dar ni kijiji, i mean your busiest road hupitusha only 60k per day while Nairobis minor roads are super flocked bado hatujaingia kwa bypasses na highways! Imagine all vehicles in Nairobi are equal to all vehicles in Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Thika road pekee inapitisha more cars during rush hours than whole of dar yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Place kama hii kuipata hapo Dar slum ni ndoto
Screenshot_20180830-091133.jpg
Screenshot_20180830-091127.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR hata bado hawajatandika reli mmeshaanza kulialia kwani mna nn lakin ,Sio nyie mlisema haitajengwa kwamba ni propaganda ,sahivi mnaanza kutuma madaraja yenu kujiliwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
mkenya ni mtu mwenye wivu sana hasa anapoona ameshindwa na nchi iliopiga hatua ndani ya miaka 10 tu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
wapewe medali ya kuzaana kama mapanya..chunga musiwe kama Nigeria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es salaam ni bandari kuu katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati tunahudumia mataifa ya DRC, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, ZAMBIA, MALAWI, ZIMBABWE NK, unadhani kwa mwingiliano huo wa mataifa Dar es salaam tutakuwa na pop. ndogo kama nairobi? acha mawazo finyu wewe nyangau
 
Back
Top Bottom