ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😂😂😂😂 gari moshi linaendesha hasara
😂😂😂😂 gari moshi linaendesha hasara
Kijana izo kazi alifanya sana Jk, pres Obama ama Trump ni walewale wako kwa maslahi ya America na sio Kenya ama nchi nyingine yoyote!
Endeelen kupiga domo as if mmeshafikia uchumi wa kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Lewis mbona unatema povu sana,n what is kisumu anyway?![]()
![]()
Arusha ilimaliza huo Mji wenu kwa kila kituthe town ambayo iko serious ni eldoret though ni small one ,sasa ukitoa Nbo na mombasa mko na eldoret iyo kisumu wala sijui kama ni nn
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan we unajiona mzima😂😂😂👆👆aisee, nmecheka sana, karibu nionekane chizi.
😁 😁 😁 😁 tatizo mna ziki mpaka matakonihapa majirani tushirikiane tujikwamue. Hiso sarau muache.
😁 😁 😁 😁 tatizo mna ziki mpaka matakoni
😁 😁 😁 😁 tatizo mna ziki mpaka matakoni
Sema wanaziki mimi simo, mimi nawashauri tu kwa jinsi walivyo arrogant towards us.😁 😁 😁 😁 tatizo mna ziki mpaka matakoni
imma let the audience judge between me & you...kwan we unajiona mzima😂😂😂👆👆
Kisumu ndio kitu gani embu nikumbushe or you mean (Hg)mercury which is toxicaisee, nmecheka sana, karibu nionekane chizi.
Kwa per capital ya$ 1000+?Kenya is a Middle Income Economy!!!
Mbona inakuuma ivo?
kwan we unajiona mzima![]()
Ichoboy01aisee, nmecheka sana, karibu nionekane chizi.
zama kwenye kijumba chako cha matope
zama kwenye kijumba chako cha matope
njoo ule Gordon kijana wacha kuwaza umaskiniKaribu Mombasa.Mkuu mm nahitaj kwenda mombasa kwaajili ya biashara ndogondogo kwasababu kule exchange rate yao ipo juu hivyo naweza ku generate faida kubwa iwapo nitachukua mzigo huku na kwenda kuuza kule. Unanishauri nn cha kuzingatia ili kukwepa usumbufu?
Sent using Jamii Forums mobile app
lol..........arusha imeshindia kisumu nini,,,,,?malls? airport? roads? estates? or what.................arusha inatoshana na kericho kwa ukweliLewis mbona unatema povu sana,n what is kisumu anyway?![]()
Arusha ilimaliza huo Mji wenu kwa kila kitu the town ambayo iko serious ni eldoret though ni small one ,sasa ukitoa Nbo na mombasa mko na eldoret iyo kisumu wala sijui kama ni nn
Sent using Jamii Forums mobile app
the difference is as clear as day and night....na lami inafika kwa estatesHapa itabidi uchanganye posta, kariokoo na upanga ndio angalau ukalibie kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 849338
Sent using Jamii Forums mobile app