Naomba kujua utaratibu wa kupata kibali cha kwenda Kenya kutokea Tanzania

ray57

Senior Member
Oct 29, 2013
102
45
Habari wana Jamvi.
Naomba kujua utaratibu wa kupata permit ya Kwenda Kenya kutokea Tanzania. Ni kwa week mbili tuu. Utaratibu wake ukoje na gharama zake.
Naomba mnipe elimu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We oanda gari/bus/ndege ukifika point of entry jaza form sema sababu ya safari siku utakazokaa watakugongea kwenye passport yako endelea na maisha.

But lazima ujue address ya unapotaka kushukia kwa maana ya hotel n.k
 
Swali la nyingeza vipi ile mipaka si wamefungua? Sasa kuna haja ya passport tena kwa sisi wabongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Rais wao si alisema wamefungua mipaka kwa wana EAC unachohitaji ni kitambulisho chako tu.
 
Habari wana Jamvi.
Naomba kujua utaratibu wa kupata permit ya Kwenda Kenya kutokea Tanzania. Ni kwa week mbili tuu. Utaratibu wake ukoje na gharama zake.
Naomba mnipe elimu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji permit kwenda Kenya, unahitaji Pasipoti. Nakushauri uende ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu na ulipo uombe Hati ya Kusafiria ya Dharura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana Jamvi.
Naomba kujua utaratibu wa kupata permit ya Kwenda Kenya kutokea Tanzania. Ni kwa week mbili tuu. Utaratibu wake ukoje na gharama zake.
Naomba mnipe elimu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kukusaidia tu ni kwamba, permit ni kibali anachopewa mgeni ili aweze kuishi na kufanya shughuli halali ya kujipatia kipato katika nchi hio. Kuna Visa pia, hiki ni kibali kinachokurihusu kukaa nchi hio kwa muda usiozidi miezi mitatu, Visa inaweza ikawa ya matembezi ambayo huruhusiwi kufanya kazi au ya kikazi ambayo unaruhusiwa kufanya kazi kwa muda usiozidi miezi mitatu.

Hapaa sasa umenifungua akili na kuelewa hii mambo. Maana hata nilikuwa sielew elew nini kinanahitajika wap na kwa sababu zipi. Hapo nakupataa sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama ya Hati ya Kusafiria ya Dharura ni 20, unachotakiwa kwenda nacho ni picha nne za passport, cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Taifa au Kura

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm nahitaj kwenda mombasa kwaajili ya biashara ndogondogo kwasababu kule exchange rate yao ipo juu hivyo naweza ku generate faida kubwa iwapo nitachukua mzigo huku na kwenda kuuza kule. Unanishauri nn cha kuzingatia ili kukwepa usumbufu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom