Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aisei huyo jamaa nimemwona mpuzi kweli. sijui amevuta nini jioni ya leo. yaani ana-compare Kisumu City (417sq.km) na Arusha Nonsense (93sq.km).
yaani nimetaka kumtukana lakini nikashindwa sijui nianzie wapi
heheh nairobi 696 km sq mombasa ni 300km sq hio kisumu haivuki 150km sq 😂😂

we kweli bwege sana wewe👆👆👆👆👆

alaf niletee ushahidi kua arusha ni 93 km sq nasubiria nikukaange👏👏👏👏
 
Kericho has two malls. One more nearing completion. And its insignificant in Kenya. Yet based on a lengthy research. Arusha has no advantage over it whatsoever. I should do a proper photography of Kisii. Kisii is way ahead of Arusha estatewise and may have an equal number of tall buildingsView attachment 849728

Sent using Jamii Forums mobile app
i like the buildings in Kisii. nice sceneries nikipita hizo masehem nikiwa ndani ya gari, always admiring them. a proper photography should be made about the town.
one thing i don't like about Kisii ni watu wa huko wamekwamilia ma-jackets mbaya mbovu.
 
Ingekuwa ni Magu hapa hakungekalika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi ni mabig fish we walk with empires(usa). We crack Big deals #MASHEMEJI[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 849000View attachment 849001View attachment 849002View attachment 849003

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu simple .......magu hatorandaranda kwenye nchi za watu kuomba omba na hana mpango wakutoka nnje ya afric a mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iringa town😂😂😂😂😂😂
55A4A490-DAB5-4D58-8092-64224DD7758D.jpeg
 
heheh nairobi 696 km sq mombasa ni 300km sq hio kisumu haivuki 150km sq 😂😂

we kweli bwege sana wewe👆👆👆👆👆

alaf niletee ushahidi kua arusha ni 93 km sq nasubiria nikukaange👏👏👏👏

ulidhani natania au?

District: Arusha City
Pop (2012): 416,442
Capital: Arusha
Area km²: 93
Arusha Region - Wikipedia
 
Back
Top Bottom