Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
ni wapi hapo
naona MNA lami zakutosha yaani kila kona mmeweka lamiLOL.......USWAZI UNIQUE KWELI.........MBONA PICHA ZA MWANANYAMALA KWA KOPA AU TANDALE KWA MTOGOLE HAMTUONYESHI.......AMA SPENSO VIGUNGUTI
chini ya wapi?... ya mnazi?.
wewe binafsi ndio upo chini, sio tanzania. thread yako uliyoianzisha tarehe 30/ 01/2018 inajieleza dhahiri shairi.
View attachment 846282
wasalimie watu wa mbeya.
tuko hoe hae lazima tuseme kweli tuuu.kenya always up.
DAR city hizo ni nyumba za kipato cha chini na zote zishanuuliwa
Indio nimepata niko U.S kwa sasa vipi huko bado mnanyooka na nchi yenu????
Hakuna kitu hapoWakuu tusaidiane kwa hili hivi huu mchakato wa project ya jangwani utafanyika..?
   View attachment 848945
asante kwa kuja ngoja nikusaidie siyo bundi pekee wanaishi hadi panya
asante kwa kuja
Tuwe wakweli tz hatuna jipya ila tukubali kujifunza kwa neighbors wetu wakenya tujishushe tuu.asante kwa kuja ngoja nikusaidie siyo bundi pekee wanaishi hadi panya





asante kwa ujio wakoTuwe wakweli tz hatuna jipya ila tukubali kujifunza kwa neighbors wetu wakenya tujishushe tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania kama kijijiasante kwa ujio wako![]()
![]()
unanisikitisha hakuna ujualo![]()
![]()
![]()
humu tunajenga hoja kwa fact hatukurupuki .....kama wewe. chokoraa
Tuma screenshot![]()
dude your disillusioned..who told you everyone likes an iphone..ama samsung za kwenyu use iphone operating system...an iphone is not a status quo...ama hyo simu yako ya itel use IOS
Sent using Jamii Forums mobile app
UnajiteKenya halafu unacheka mwenyewe, wakenya mna vituko kweliHata pc za majengo ya tz wameishiwa tumeni kenge nyie mnajifananisha na watu wa kenyata watawaumbua.....
Sent using Jamii Forums mobile app