sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hahhahahaa.......nani?kwa hivo hata wewe hujui haya mamboKulingana na vitu wanavyomiliki, hata kama wengine wana hela ila hawapendi kununua vitu vya gharama, Mmewafunika [emoji23]. Sasa tunajua nani anaishi maisha na nani anasurvive maisha. [emoji23]
Wanasema screen ya simu ya mtu Au desk top ya Pc yako inaonyesha we ni mtu wa aina gani.
Kuna mtu simu yake ina app mbili mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app