Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na bado. Low density , High quality, High priced Tourist products. We are no longer an add on tourist destination. Kudos.
 
Hili ndio bao lakimataifa hehhe unbelievable year
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Watu wame struggle 50 yrs kutangaza utalii sisi miaka 10 tu watu wametoa mapovuuuuuuu ahhhhahahahhaha kikwete big up
 
Miradi gani nje ya Nairobi....konza?
it's under Nairobi metro
Wewe usiyudangane hapa konza iko macahakos na sio nairobi mbona sisi hatuleti miradi ya ya mikoa mingine hehehehe 160 km from nairobi unasema nairobi hhhaahhahahahha
 
Ha! 160KM !!!!!!! aliyeandika hio wikipedia alikosea...

Konza is approx 60Km from CBD
Hehhehehe wikipedia waongo enhhhhh
😀😀😀 kila siku munaonewa nyie hhahhhhahah
160 km unasema 60 hhahahhah unachakachua 100 nzima hahhahahahaha hatari sana
 
Mombasa-Road -Nairobi (Roads, real eastate)

on the lower right there is Airtel Africa HQ and thats the Mombasaroad-southern bypass interchange




Mombasa road




encasa some new real easte


 
Hehhehehe wikipedia waongo enhhhhh
😀😀😀 kila siku munaonewa nyie hhahhhhahah
160 km unasema 60 hhahahhah unachakachua 100 nzima hahhahahahaha hatari sanaView attachment 493758
Hii ndo maana ni vigumu sana kushindana na Mtanzania.... Mi mwenyeji nishakwambia, badala ukatafute source nyengine uhakikishe bado unarudi na screenshot ya wikipedia tena.... Sasa unataka tuchukue siku nzima tukishindana kutokana na hio info ya wikipedia ambayo tayari nimesema kakosea????
Mimi mwenyeji, wewe hata hujui Konza iko na wapi...... Nairobi mpaka nakuru ni 150KM huko ni mbali sana, Konza iko hapa hapa tu After Mombasa road kama unaenda Machakos, its not that far...

Anyway, Hii hapa kutoka kwa website ya Konza techno City website - Haya shindana na hio pia

 
Sasa ubishane na mm kwan mm ndio wikipedia hahhahahahhahah hujiamin au hahhahahhaha nairobi to machakos 160 km alaf unasema hapo tu hahahhahahha haya siongei mm anaongea wikipedia so bishana na wikipedia sasa 😀😀😀😀😀😀😀
 
Samahani, Nili reply bila kuangalia user. kumbe ni wewe mwendawazimu... haina haja uongee , tunajua type yenu
 
bravo for a short and good analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…