Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe umeiva Swa hivi
Bado hajaiva vizur...
28% ni data ya kusadikika sio sahihi
Uchumi wa kibepari ndio uko Bongo sahv katika nchi yenye sera Za kiujamaa...
Bongo sahv kama hufanyi kazi utaumia zaman ilikua anafanya kazi jamaa mmoja wategemezi wengi wanafika kwake kula na kulala kwa kigezo cha undugu lakini kwa sasa hapana. ..

Pili zaman waajiriwa wengi hawakua wanajishughulisha na biashara zaidi walikua wanalima tu kilimo kisichokua na tija lakini Kwa sasa watu wamefunguka zaidi Yaani unaajiriwa na wewe unaajiri watu wako wakukufanyia kazi ...mfumo wa kibepari maana yake ni fanya kazi unufaike usifanye uabike
 
Ikiwa wapo wakenya wenzako wanamsifu.....sembuse wenye raisi wao....

Pole
 
Kadoda ungeitwa kidonda. Wewe unashinda tu habari na taarifa za Kenya ilhali hapo Danganyika kuna visa na mikasa zaidi ya hayo. Wala zeruzeru tunawafahamu sana
 
leta link kua umaskini umepungua😂😂😂
watu hawana ajira alaf umaskini unapungua vp 👆👆👆👆
 
wameanza kuogopa biashara sasa😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇 kumbe tanzania wanaijua vzr sana

 
leo ndio wameshtuka kua mchina alieacharaza kisawasawa kwa kuwaletea gari moshi lilotumika miaka 100 iliopita😂😂😂👇👇👇

 
Anold unafanana na ngedere...[emoji86] [emoji86] [emoji86]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] na wewe umewahi jiangali kwa kioo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ikiwa hawana governors
 
Wacha historia. Leta vitu vya juzi au jana. Historia kila mtu anayo
do you know what the term "history" means???
na wakenya wenzako wame-like,ina maana wameona umepost kitu cha maana sana!!so, yesterday ain't a history??did you note the foolishness that filled your head??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…