Yeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)nakukumbusha tu najua umesahauπππ
dar ina watu million 5 na city area ni 1600km sq
nairobi ina watu 4.5million na city area 696km sq
Hii ingekua Tanzania, wangepewa holiday
Ni shida kwa jinsi city ya nairobi ilivyopwaya na kwa jinsi city yao ilivyo ndogo na watu ni wengi napata mashaka huwa idadi yote ya raia waliopo nairobi wanaishi wapi....?..nakukumbusha tu najua umesahau[emoji23][emoji116][emoji116]
dar ina watu million 5 na city area ni 1600km sq
nairobi ina watu 4.5million na city area 696km sq
West Africa - Lagos, NigeriaHata Chelsea, the second biggest team in London, wanatambua Nairobi ndio kusema hizi upande [emoji16][emoji91] View attachment 832845
Hayo maeneo ni yawanyamwezi yaani wajanja wa town
Hiyo asilimumia 90 ni ndogo sema asilimia 1000000000000.99999Yeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)
π±π±π±
Hizo ni NONSENSE hakuna anayetaka kujua. Cha kusisitiza ni kuwa ni informal settlements.. ama in simple terms SLUMS.Hayo maeneo ni yawanyamwezi yaani wajanja wa town
habana leta mbisha ya 1990's.Povu kwa hiyo hii nairobi ndiyo inamvuto?
[emoji134] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 832902
Mezawembe pole pole bila kusumbua Nyang'au.Hiyo asilimumia 90 ni ndogo sema asilimia 1000000000000.99999
Roho yako ifurahi[emoji3] [emoji3]
Unalazimisha mambo,,njoo ule bia uondoe stress naona ushapagawa na lifeHizo ni NONSENSE hakuna anayetaka kujua. Cha kusisitiza ni kuwa ni informal settlements.. ama in simple terms SLUMS.
Mnazo, sisi pia tunazo, ila nyinyi hamuezi kubali ukweli. Nyinyi ni nyani asiyeona m.Kundu wake
Nafikiri tunaelewana
Nataka nikuoe manzi wa nairobi....ili nikulete dar utoke huko kwa washamba .unaonaje....?Mezawembe pole pole bila kusumbua Nyang'au.
Haha what a coincidence. Acha niende hivi nakamUnalazimisha mambo,,njoo ule bia uondoe stress naona ushapagawa na life
Sehemu ambazo zipo unplanned dar ndiyo zipo na isitoshe gari na notor byc zinaweza kupita na hakuna anayekataa ila ukija kwenye slums unapotea hatuna uchafu huo
Lewis mwala ushafeli bora utulje huku mkimkumbuka mzee ojwanihabana leta mbisha ya 1990's.
dar kufikia bahali Nairobi iko saa hii ni 1970's.
Safi sana Kunywa ndembe kijanaHaha what a coincidence. Acha niende hivi nakam View attachment 832929
heshimu waliotuachaLewis mwala ushafeli bora utulje huku mkimkumbuka mzee ojwani
hasira zishakupandaππππππ
Hiyo ni moja ya heshima au hamtaki kumuenzi hayati mzee wenuheshimu waliotuacha
hutapata sehemu slum kwenye google earth sasa wewe na google earth nani mkweliππππππππππYeah, (dar sluum)90% * 1600 kmsq = 1440 kmsq ya slums ( kubwa zaidi kuliko hata Nairobi mzima)
π±π±π±