Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna nchi isofanya jambo bila mkalati my friend ndio maana nilimsikia mchumi wenu dr ndii alisema SGR yenu iliharakishwa pasipo kuangalia faida yake ndio maana mwaka wa kwanza wa SGR yenu mumetengeneza loss ya 10b ksh

msikilize mchumi wenu vzr dr ndii

We have the brains, bado SGR haijamalizika 100%, losses are normal in every business
 
tatizo lenu wakenya mnajitoa sana ufahamu, mnauza nini marekani ninyi? labda 0.001% ya mauzo yote ya nje, lakini mnaongoza kwa kuuza UGANDA kwa MUSEVEN mnayemdharau leo.....yatazidi kuwatokea puani TANZANIA tupo kimkakati zaidi.
Kipofu hawezi saidia kipofu hio nikujidanganya wavha tuone hio uhusiano wenyu na mseveni itawapeleka wapi East or West Kenya is the best, mtajikuta mlirudia kenya bila kujua, there is no way out
 
Kenya is behind Tanzania for everything except marathon and GDP only. Without Tanzania there is nor EAC. Tanzania ni tegemeo la Kenya kwa mambo mengi Sana, Kenya needs Tanzania for its survival, Tanzania doesn't need Kenya.
 
are you serious dude...dont you know how trade works...wacha kujiabisha buda...no country is superior when it comes to trade...kenya needs tz just as much as tz needs kenya...you keep forgetting traders from tz make millions in trade to kenya otherwise the namanga border would be closed...take for example china and usa..two major economies and rivals but still their biggest trade patners...
 
Wewe wasikilize wanaharakati wenu wa kiuchumi.. Oh wait, HAMNA

Tuwache sisi waKenya. Hatuko ligi yenu
so hautaki kumsikiza mchumi wenu dr ndiii😂😂😂👆👆👆 huyo sio mwanasiasa ni mwanauchumi my friend
 
hivi huyu governor wenu ana miaka mingapi,mbona kama mtoto flani mshamba hivi asiyejua hata miiko ya uongozi,mara macheni mengi kama mbwa,hapa tena kavaa yeboyebo nyekundu,harafu mtegemee nairobi iendelee kusumbua EA,mnazo sababu millioni za kupitwa na majiji ya kisasa kama dar.
 
This just goes to show you magu ni dictator and hamna freedom of speech..mumekaliwa chapati....its only in tz that the opposition is shot in broad daylight in this current generation
Screenshot_2018-08-10-10-24-34~2.jpg
 
are you serious dude...dont you know how trade works...wacha kujiabisha buda...no country is superior when it comes to trade...kenya needs tz just as much as tz needs kenya...you keep forgetting traders from tz make millions in trade to kenya otherwise the namanga border would be closed...take for example china and usa..two major economies and rivals but still their biggest trade patners...
I do agree with you but between USA and China as far as business is concerned, China has got upper hand, China has bigger internal market, it's manufacturing sector is bigger, cheap human resources such that nearly every thing can be manufactured at reasonable price.

Trump is trying to salvage it's manufacturing sector by imposing taxes on goods specifically from China hoping that can stop China from taking over businesses from USA, too late. The same scenario is happening in East Africa.
 
Soo your whole point is that socialism is defeating capitalism...is that your take??
 
Back
Top Bottom