Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio picha sasa !!
Hata ivyo Dar haijawahi kulala usingizi
Izo tantalila Za pinaccle tutazizima na electric trains ambazo kwenu ni ndoto ..
Miradi mikubwa kama 2nd n 3rd phase of BRT nayo itakua imefikia hatua Za mwisho bila kusahau 7 mega flyovers hapa sizungumzii izo zenu uchwara Za 10% ,daraja la salender pamoja na mijumba ya nguvu ...kimiundombinu nadhan mtabaki kuota sasa, bila kusahau highway za nguvu zenye viwango sio huo uchochoro wa thika Apo View attachment 831330
wakati mnaongele BRT for the whole of dar, Nairobi METRO ndio inapikwa. BRT itatumika njia chache chache tu Nairobi. Nairobi inapikwa Metro, lrt na BRT zote mara moja.

Niskie mtu akisema ooh renders. Yetu ni ya taratibu.
 
Sasa ikiwa sahii hamna hata SGR? By then sgr itakuwa imefika Uganda na Projects zingine kuanzishwa
kwa mwendo huo munaoenda nao sasa hvi yani phase 2 90km 😂😂😂😂 nilitegemea mayb 400km naona mushaanza kunusa harufu ya white elephant maana na loss ishatengeneza 10b ksh 😝😝😝

ila mchina amewashika pabaya sana
 
😂😂😂👇👇👇👇👇
09B14999-3029-444F-B62E-BC6FD40835C2.jpeg
B4DC7AD2-59FD-4416-BFE0-CF96CC7DD57A.jpeg
67601AFE-5304-4A39-9603-90A3FE4143BA.jpeg
EB26A3A5-B632-40F4-BEDF-6F0FD7D93361.jpeg
2A31630F-FB04-4788-BB67-FF429791DBF9.jpeg
 
wakati mnaongele BRT for the whole of dar, Nairobi METRO ndio inapikwa. BRT itatumika njia chache chache tu Nairobi. Nairobi inapikwa Metro, lrt na BRT zote mara moja.

Niskie mtu akisema ooh renders. Yetu ni ya taratibu.
renders zitabaki kua renders hata kama ikiwa ni mwendo wa kobe

inapikwa haijaiva bado😂😂😂👆👆
BRT inayopikwa ndio hii😝😝👇👇
Mungu wasaidie wakenya plz
0BCC777C-4AFD-41EA-BB94-49E6A260DD26.jpeg
52DDA2CF-46A0-41BA-901F-41F0E6EB626C.jpeg
 
Kenya is not a marketplace like your country. Things here are done in order. Remember, Kenyans are on average very clever than the average person in Tanzania/Africa
hakuna nchi isofanya jambo bila mkalati my friend ndio maana nilimsikia mchumi wenu dr ndii alisema SGR yenu iliharakishwa pasipo kuangalia faida yake ndio maana mwaka wa kwanza wa SGR yenu mumetengeneza loss ya 10b ksh 😂😂😂😂

msikilize mchumi wenu vzr dr ndii😂👇👇

hakuna nchi isofanya jambo bila mkalati my friend ndio maana nilimsikia mchumi wenu dr ndii alisema SGR yenu iliharakishwa pasipo kuangalia faida yake ndio maana mwaka wa kwanza wa SGR yenu mumetengeneza loss ya 10b ksh

msikilize mchumi wenu vzr dr ndii

Wewe wasikilize wanaharakati wenu wa kiuchumi.. Oh wait, HAMNA

Tuwache sisi waKenya. Hatuko ligi yenu
 
Hii ndio picha sasa !!
Hata ivyo Dar haijawahi kulala usingizi
Izo tantalila Za pinaccle tutazizima na electric trains ambazo kwenu ni ndoto ..
Miradi mikubwa kama 2nd n 3rd phase of BRT nayo itakua imefikia hatua Za mwisho bila kusahau 7 mega flyovers hapa sizungumzii izo zenu uchwara Za 10% ,daraja la salender pamoja na mijumba ya nguvu ...kimiundombinu nadhan mtabaki kuota sasa, bila kusahau highway za nguvu zenye viwango sio huo uchochoro wa thika Apo View attachment 831330
Kabisa
 
Huyo jamaa ana mihemko kama tu wakenya wengine, anaonekana hana mipango, ni mkurupukaji sana.
Ndio maana nairobi ni mji mchafu sana. Ukipita kule juu langata st.Marrys uje hadi kuku magereza na sokoni mji mchafu sana.
Njoo ni mjifunze dar, there was a time when dar was among dirtiest cities in the world,
Mipango ilifanyika now we have many professional companies cleaning the city, it will not be possible for County to hire cleaners direct and expect promising outcomes.
You guys seem disorganised.
 
Back
Top Bottom