Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD 5% of the whole Dar., kijiji kubwa in population na land mass with slumish, unplanned, substandard settlements. Shunties!
sio mm ni google earth😂😂😂👇👇👇👇
4A573E9E-8BDD-43C9-BC8D-8C110AAC7BC9.png
D97FCA09-3344-4E20-943D-D9DB4D67AD02.png
 
Huu ndio ukweli, keep in mind that Tanzania has the biggest population out of all. Hapo ondoa Ethiopia ambao ni wageni EA
View attachment 829480View attachment 829483
Alafu poverty index 2018 Uganda na Tanzania wako juu ya Kenya, ukiondoa Ethiopia, kesi yao ni hali maututi! how?., Unemployment rate does not necessarily mean the populace is that poor, it does not capture the like of mama mboga, manamba, jua kali artisans, several agribusiness(wakulima wa biashara), etc., ndio maana IMF/world bank wakifanya utafiti wanapata walala hoi wengi wamajazana Tanzania, Uganda na Ethiopia licha ya percentage kidogo ya unemployment.
 
Alafu poverty index 2018 Uganda na Tanzania wako juu ya Kenya, ukiondoa Ethiopia, kesi yao ni hali maututi! how?., Unemployment rate does not necessarily mean the populace is that poor, it does not capture the like of mama mboga, manamba, jua kali artisans, several agribusiness(wakulima wa biashara), etc., ndio maana IMF/world bank wakifanya utafiti wanapata walala hoi wengi wamajazana Tanzania, Uganda na Ethiopia licha ya percentage kidogo ya unemployment.
so hutaki kukubali ukweli au????😂😂😂
mm nilikwambia GDP yenu sio halisi ukilinganisha na maisha ya wakenya huwezi ukawa na taifa 40% unemployment rate hio utakua nchi inayoendelea??? sasa usishangae kusikia below poverty line 43% in kenya kwasababu inaendana sambamba na unemplyment rate yenu😝😝😝

alafu munakuja hapa kuataka kushindana na tanzania
 
papendeza, how many Dar residents, sorry, I mean dwellers can afford to come and hit the ball?
forget about word slum in dar😂😂😂

jungle of slums hii hapa😂😂👇👇
huku kibera ikiwa the biggest slum in the world
9766C463-51DE-4602-B94C-D8BA20AF6298.png
 
ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????
how comes sehemu zingine bei ni 7400 na kwengine ni 13,000 - 20, 000 (Tsh).... you see that range?
dullard
kuna tofauti kati ya mtu anayetembea barabarani na huku mitandaoni!???
Kumbe serikali ikiwa failed state hadi wananchi nao wanakuwa failures. ..asa unashangaa cement hadi 11000,kwengine ni 15000,kwa hapa mjini kuna cement 12000,1300,13500,kuna cement 15000 hiyo si dangote cement!au unadhani huku ni failed state kwenyewe mtu wa kipato cha chini hawezi jenga!!pambaneni na hali zenu...!!
 
so hutaki kukubali ukweli au????[emoji23][emoji23][emoji23]
mm nilikwambia GDP yenu sio halisi ukilinganisha na maisha ya wakenya huwezi ukawa na taifa 40% unemployment rate hio utakua nchi inayoendelea??? sasa usishangae kusikia below poverty line 43% in kenya kwasababu inaendana sambamba na unemplyment rate yenu[emoji13][emoji13][emoji13]

alafu munakuja hapa kuataka kushindana na tanzania
Waje tanzania tuwalee ardhi ni kuuubwa huko kwao wako utumwani njaa, mateso, hakuna ajira


Wakisoma hii post watajibu kwa picha za two river mall
 
Haya sasa calculate ratio ya slums to organized estates tuone.., red shows the location of mentioned slums, not size..., [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
ni calculate good
kibera 2.5 million people
mathare 0.5 million people
makuru kayaba 0.7 million people

mpaka hapo tukubaliane tuendee na ushahidi ukitaka sema tu😂😂😂👆👆👆
 
Back
Top Bottom