๐๐๐๐๐
Kenya wamebaki kupiga domo tu biashara wameshindwa...real recognize real wacha waje tupate pesathis fellow kenyan of yours is asking...pls answer him.
View attachment 829363
tanzania kwenye issue of developments bro huiwezi hata kwa ukucha ๐๐๐๐
Avic is ready to take East African Tallest building status. The tallest should range range around 43-47 floors.
kwa hiyo kwa akili yako info zinapatika kwa watu wa mitandaoni??unajua interests zao??kama kweli unataka info za kuaminika kwa nini usizitafute kwenye official source za dangote cement co.Lt?? . ..wewe ni wa kuhuruniwa uko na furaha kabisa kuishi failed states!kwanza kabisa jihurumie mwenyewe kwa kuwa mkaazi wa nchi maskini wa kutupwa.
pili, huwa napenda kupata info from the hoses mouth bila ushabiki wala udanganyifu.
tatu, kuna mpuuzi nimemnasa kwenye mtego alipotaka kuniaminishia kuwa cement inauzwa Tsh7,400/-
kwanza kabisa jihurumie mwenyewe kwa kuwa mkaazi wa nchi maskini wa kutupwa.nakuhurumia kwa sababu unapenda kuzingatia maoni ya watu wa mitandaoni bila kujua wana interest gani??juzi tu hapa nimerekebisha nyumba ya mama angu iko maeneo ya yombo,dar es salaam,nimetumia cement ya dangote kwa gharama ya tsh 13000/=kwa kila mfuko!!
Usiongopewe cement ya dangote dar ipo ya kumwaga tu!!na ndo bei rahisi vibaya mno..
ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????kwa hiyo kwa akili yako info zinapatika kwa watu wa mitandaoni??unajua interests zao??kama kweli unataka info za kuaminika kwa nini usizitafute kwenye official source za dangote cement co.Lt?? . ..wewe ni wa kuhuruniwa uko na furaha kabisa kuishi failed states!
tuliza akili yako ๐๐๐๐๐๐ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????
how comes sehemu zingine bei ni 7400 na kwengine ni 13,000 - 20, 000 (Tsh).... you see that range?
dullard
niko fiti. ila huyo jamaa kanishangaza sana... nashuku anaeza kuwa yuaishi pangoni na hajui umuhimu wa internettuliza akili yako ๐๐๐๐๐๐
nilikwambia mtwara cement inauzwa 7000 tsh sasa tatizo lako ni nini????niko fiti. ila huyo jamaa kanishangaza sana... nashuku anaeza kuwa yuaishi pangoni na hajui umuhimu wa internet
CBD 5% of the whole Dar., kijiji kubwa in population na land mass with slumish, unplanned, substandard settlements. Shunties!