ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
9400tshhow much is Ksh420 in TzSh?
9400tshhow much is Ksh420 in TzSh?
Dar pekee au Tanzania nzima?9400tsh
Dar pekee au Tanzania nzima?9400tsh
mtwara cement inauzwa mpaka 7000 tsh yani sawa na 330kshDar pekee au Tanzania nzima?
mkoa gani huo?Huku nondo ilikuwa 16elfu now ni 21, cement mwaka jana ilikuwa 15elfu but now ni 20elfu... Nahc mkoa wangu wote n wapiga dili na wanavyeti feki
mtwara ni eneo la sehemu flani au ni jina ya hio simiti?mtwara cement inauzwa mpaka 7000 tsh yani sawa na 330ksh
mtwara ni mkoa ndio huko kuna the biggest cement factory in east africa wa dangotemtwara ni eneo la sehemu flani au ni jina ya hio simiti?
dangote alihoramtwara ni mkoa ndio huko kuna the biggest cement factory in east africa wa dangote
nahisi itakuwa imepanda. sa ivi inaelekea 20,000/-Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara, wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-
Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
kama mikoa gani?Kuna baadhi ya mikoa cement imefika hadi 18,000
kwa hio ina maana cement ya Kenya ina bei nafuu?Tarime wanatumia ya kenya bei Chee
hahahaha..... fisiemu bhana!Yakennya haivuki siku hivi, tra wakali sana siku hivi, hata ukikutwa nayo tu utakiona kilichoifanya ccm itawale milele. Unaweza kufilisiwa kabisa.
wapi hapo?Hapa nilipo cement
32.5 ni 14000
42.5 ni 15000
Huku kwenu Geita - Chato ni 20,000
Mi hii ni hapa mbeya na inazalishwa hapa hapa mbeyawapi hapo?
Chato chief ni 20 na hali ni mbayawapi hapo?
Vijana wa kikenya google map inawadanganya sana. Using basic definition of slum dar hakuna hata moja.
Yani meaning since watanzagiza wajenge hizo 3 blocks they have courage to debate with usBehind the three towers. Inafanana na BometView attachment 828021
They are about to confess aky walai! Mtajua hamjui, Mshawahi fikiria 2020 mtapeleka wapi maskio zenyu
but hatuna haraka...time will tell, NBO itawapiga kichapo cha nyoka...you will never dream to compete with NBO againi thought aliishia. kumbe ilikuwa vitisho baridi za wiki tatu