Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vijana wa kikenya google map inawadanganya sana. Using basic definition of slum dar hakuna hata moja.
Hapo mwenge ndo home ni moja ya estate za mwanzo kabisa za mfano ilijengwa kupitia ushirika wa wananchi unaoexist hadi leo.
wamekosa slum sasa watahamia kwenye GDP😂😂😂😂😂
 
bahati nzuri mm niko dar na camel cement ni moja ya kampuni yetu😂😂😂😂
uko na shares ngapi hapo na market share yake tanzania ikoje. do they really make any profit ama ni charity organization?
 
Hapa Kuna ukweli Ndani yake, ila Pia Dangote akiingia Sokoni Bei Itashuka sana sana,Sasa hivi Dangote Hasafirishi Cement DSM,Kwa Kuwa Anazalisha kidogo sana,Almost Anatembea Massa Kadhaa anazima Matambo Sababu ya Umeme,Inaonekana Bado Hajaonganishwa na Gesi,Labda Mchakato Unaendelea...kutembeza Kiwanda cha Cement kinahitaji Umeme Mkubwa.sijui Nani Anachelewesha,Au ni Yeye Mwenyewe Hajaweka Mitambo ya Umeme Au kuna Figisu?
Ila Inatakiwa Dangote Aingie Sokoni Mapema ili Bei ya Cement ishuke,Pia Sidhani kama watu wanaweza kumpiga Ban Asilete DSM, sijui,ila Lolote lawezekana Kuna Fitna Viwanda vya Cement wakubwa wenye hisa Zao.
BUT Cement inatakiwa Sokoni kwa Wingi ili Kushusha Bei,sio watu wachache kunufaika na Kodi haiongezeki...
are you for real??? kiwanda cha umeme na hakuna umeme???? huku kuzima na kuwasha ndio hasara inaingia btw....
 
hiki kiwanda cha Dangote Cement kwani kinakaaje.... eti hakina umeme na vile Melissa alkua akijichocha hapa ati kitakuwa the biggest in East & Central Africa na kitakuwa na uwezo wa kuzalisha a zillion tonnes.
ni kweli ni mtambo wa simiti au ni mtambo wa kusaga mahindi kama vile vya kijijini vya kinangurumishwa dakika kadhaa kisha kinazimwa kama vile bajaji kucheki weather.
afaic, mitambo ya simiti haifai kuzima hata kwa sekunde moja, one second is equal to Ksh1billion loss.
wacheni ldc aitwe ldc
 
Dar es Salaam — Dangote Cement plant in Mtwara will start using natural gas in its production by the end of next month, The Citizen has learnt.
The development creates hope that production at the country's largest cement producer will not be affected by electricity challenges, resulting in a number of benefits to consumers such as reduced prices.
The move follows the completion of infrastructure, complete with installation of a natural gas pipeline from Block Valve Station one (BVS 1), a 132 metre distance to the cement factory.
A source at the cement factory told The Citizen that currently, the company is transforming its systems from diesel to natural gas consumption.
"We are currently switching off our diesel systems and installing those that will use of natural gas. I am certain that once we start using natural gas as source of power, we will save a lot in production costs," he said, preferring anonimity since he is not the official spokesperson of the company. According to him, the factory is now forced to use six million litres of diesel per month at a total cost of about Sh10 billion.
"With natural gas, our operational costs will go down and ultimately, the price of cement will also be reduced," he said.
This would obviously be good news to Tanzanians who have experienced a rise in cement prices during the past three months.
Currently, a 50 Kilogram bag of cement retails at a minimum of Sh13,000 in Dar es Salaam, up from around Sh11,500 four months ago.

http://allafrica.com/stories/201804160258.html

This is a joke!
 
Mnamwona Ichooboy hapo kwenye picha anawaza hapa tutafika lini
tapatalk_1533410950117.jpeg
 
The famous Kariakoo. With a slum in the foreground
tapatalk_1533439466956.jpeg
 

Attachments

  • tapatalk_1533439466956~2.jpeg
    tapatalk_1533439466956~2.jpeg
    97.6 KB · Views: 30
  • tapatalk_1533439466956~2.jpeg
    tapatalk_1533439466956~2.jpeg
    97.6 KB · Views: 29
kwanza rekesbisha kauli kenya inakua kwa 4.4% na tanzania inakua kwa 7.2% usichanganyikiwe kwanza nimekuomba official source sasa nashangaa unaniletea maelezo na porojo za vijiweni

ndugu yangu economy ya arusha hakuna mji wowote outside nairobi na monbasa unaeza kabiliana nayo
Wakae wakijua arusha kuna makao makuu ya EAC na mahakama ya haki za kibinaadam ya africa

Arusha pesa ipo hao wakenya wanaijua arusha vizuri tu ila humu ni kujitia ukiziwi
 
are you for real??? kiwanda cha umeme na hakuna umeme???? huku kuzima na kuwasha ndio hasara inaingia btw....
NOT SURE Mkuu , but lolote lawezekana,swali kuu ni Cement Mtaaani imeadimika na Supply ya Cement ya Dangote ni Ndogo ukilinganisha na wakati mwingine wowote na Ukilinganisha na wapinzani wake?Nawe tafuta majibu for discussion Ila Ukienda Mtwara unaweza kupata Majibu Sahihi sana,kwa Uwezo wa Dangote akitembea Full Kunakuwa Hakuna uhaba ya Cement Mtaani,So something has not right somewhere?
 
hiki kiwanda cha Dangote Cement kwani kinakaaje.... eti hakina umeme na vile Melissa alkua akijichocha hapa ati kitakuwa the biggest in East & Central Africa na kitakuwa na uwezo wa kuzalisha a zillion tonnes.
ni kweli ni mtambo wa simiti au ni mtambo wa kusaga mahindi kama vile vya kijijini vya kinangurumishwa dakika kadhaa kisha kinazimwa kama vile bajaji kucheki weather.
afaic, mitambo ya simiti haifai kuzima hata kwa sekunde moja, one second is equal to Ksh1billion loss.
wacheni ldc aitwe ldc
Melissa ndo Nani Mkuu?
Pia IDC stand for what?
 
Yani meaning since watanzagiza wajenge hizo 3 blocks they have courage to debate with us They are about to confess aky walai! Mtajua hamjui, Mshawahi fikiria 2020 mtapeleka wapi maskio zenyu but hatuna haraka...time will tell, NBO itawapiga kichapo cha nyoka...you will never dream to compete with NBO againView attachment 828721View attachment 828727View attachment 828729View attachment 828734
Apo kitu cha kukusumbua ni avic Au izo minara? 2020 ndio mtaumia zaidi
 
Back
Top Bottom