Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hawatak CBD ya dar sahv wanataka suburbs,ukiwapiga mahal wanahamisha goli. ..lakin wao kila uchao hupost angle zote za CBD yao japo wanajua kabisa tunawazidi kwa majumba ya kisasa ndio maana wanataka tubadili locations
Tumechoka kuona the obvious, 3 buildings sasa yenyu ni torture man
 
Jaguar F -pace
Screenshot_2018-08-06-19-01-47-1.jpg
Screenshot_2018-08-06-19-01-28-1.jpg
Screenshot_2018-08-06-19-01-20-1.jpg
 
huu sio wakati wa kikwete huu ni wakati wa chuma magufuli😂😂😂😂👇👇👇

 
wanafatilia maisha ya diamond😂😂👇👇
asante diamond👏👏👏👏

 
how much is a 50kg bag of cement in tanzania?
420 ksh in tanzania na pia usije ukajihangaisha kutafuta uongo wakutudanganya nakupa na bei zenu kabisa uone vile kwann hamutaweza kumiliki ardhi na kujenga boma mpaka yesu ashuke😁😁👇👇👇👇👇👇👇👇


3FC7B0A6-0606-494A-B784-54683DB4A726.jpeg
 
Back
Top Bottom