Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah ni kubwa sana kaka yani nairobi inaingia mara tatu my friend unaeza amini mm sijamaliza kuijua nusu ya dar
Nilipokuwa nawaambia wakenya kuwa dar tuna uhaba mkubwa wa picha za kuwaonyesha na tena bado hatuna picha za maeneo mengi sana baadhi ya chokoraa wakikenya walisema tuache excuse leo picha zinaongezeka kidogo kidogo wanabaki kutoa macho....

Na badp hawajui kama izo bado ni picha za maeneo machache sana hatujafika hata robo.....
 
Sasa tofauti iko wapi? Cbd zote zafanana. Lakini Nairobi ina secret weapon inayoitwa Upperhill na nyingine inaitwa Westlands
Hapo hakuna cha kufanana......punguza stress mzee ojwani....

Dar ni ze best mlipojitahidi kidogo ni baadhi ya barabara ziko poa hapo nairobi tena zinahesabika
 
Sasa tofauti iko wapi? Cbd zote zafanana. Lakini Nairobi ina secret weapon inayoitwa Upperhill na nyingine inaitwa Westlands
ndugu yangu CBD ya dar kwa density chukua CBD ya nairobi+ westland+ upper hill etc😂😂😂😂😂
 
Wakenya hawatak CBD ya dar sahv wanataka suburbs,ukiwapiga mahal wanahamisha goli. ..lakin wao kila uchao hupost angle zote za CBD yao japo wanajua kabisa tunawazidi kwa majumba ya kisasa ndio maana wanataka tubadili locations
 
welcome to the real city.....Dar is on fayaaa
C89KjW1XkAA2CCw.jpg

CyWwLkFXUAQREcC.jpg

C8oWzZQXYAI0r_o.jpg
DV10_IvXUAE-1e_.jpg
 
Wakenya hawatak CBD ya dar sahv wanataka suburbs,ukiwapiga mahal wanahamisha goli. ..lakin wao kila uchao hupost angle zote za CBD yao japo wanajua kabisa tunawazidi kwa majumba ya kisasa ndio maana wanataka tubadili locations
Suburbs zao zenyewe kila siku ni zilezile tu mara nyayo mara thika yaani tokea thread inaanza mpaka sasa .....

Mpaka napata mashaka kwani huo mji wao watu hawazaliani ama kwa lugha nyepesi hawazidi ...sababu dayle miaka nenda rudi nj zile zile tu huku wakiwaficha kwa wale wasioishi kwenye estate
 
Hahaha Nairobi west ,huruma flats wakishakuwekea buruburu basi. ..
Sasa Bongo ukianzia Bunju hadi chanika kuna miji mingap?
 
Wakenya Wanang'ang'ana hapa wanashindwa kushughulika na shughuli za kijamii

Hebu wakenya mpambane na hali zenu
IMG_20180803_235927.jpg
 
Hahaha Nairobi west ,huruma flats wakishakuwekea buruburu basi. ..
Sasa Bongo ukianzia Bunju hadi chanika kuna miji mingap?
Halafu ni mikubwa .....hauipati kwa aerial view moja........

Hawa wakenya hawajui walitendalo ni tuwahurumie maana ndiyo machizi wetu inabidi tuwapeleke milembe
 
Back
Top Bottom