asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Presha isikupande. Tizama hii videourban planning my ass, nimeshakuonyesha juhudi zinazofanyika katika hiyo district, we ndio uende darasani
Presha isikupande. Tizama hii videourban planning my ass, nimeshakuonyesha juhudi zinazofanyika katika hiyo district, we ndio uende darasani
munahamisha magoli mumekosa slum sasa ni GDP😂😂😂👆👆👆Hasira isikupande 😂😂😂
Ndio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.halafu unajua nyie wakenya kuna kitu kimoja hamjui kuhusu hizo suburbs mnaita slums. Unlike your city that has poor people jammed in their places in our city japo si sehemu zote unakuta hapa kuna mjengo mkalI ila opposite to it ni nyumba ya masikini. aerial views zisiwadanganye.
sasa wewe unaonesha slum of some place that i'm not even sure if it's really Dar halafu chini yake unaweka eastlands. Kwa akili yako hiyo ni fair fight? Ukiweka slum ya dar, linganisha na slum ya Nairobi, ukiweka suburb nzuri ya nbo, linganisha na suburb nzuri ya dar, easy as thatNDIZO HIZO SUBURBS ZENU.
Kenya, Eastlands suburbs...Angalia tofauti![]()
![]()
![]()
Hapa sasa?a place that has those buildings to host one of the most beautiful architectural pieces means that the area is having some serious change. Nyie huo uchafu wenu wa kibera mnajenga nini?
hehehe anaokota picha za google alaf anakwambia dar anapokosea yeye sasa haangalii udongo analeta udongo mwekundu dar😂😂😂😂😂 wameshapanic tayarii wazoeesasa wewe unaonesha slum of some place that i'm not even sure if it's really Dar halafu chini yake unaweka eastlands. Kwa akili yako hiyo ni fair fight? Ukiweka slum ya dar, linganisha na slum ya Nairobi, ukiweka suburb nzuri ya nbo, linganisha na suburb nzuri ya dar, easy as that
then show me slum there zoom it and show me slum am waiting😂😂😂👆👆
Nani ako proud? Umaskini si kitu ya kushangilia. We are deconstructing your thoughts ati Tanzania below poverty ni 22%wewe uko proud being number 8 on this list, mimi niko sad being on this list na ninawork hard kumaintain level nzuri ya maisha yangu na kuwaelimisha vijana wengine wa kitanzania kuhusu masuala kama haya
So you are implying that urban planning involves putting rich people and poor people in different areas? Sikia nikwambie kitu labda hata policy za serikali zetu zinachangia, Ninyi mlikuwa mabepari ila sisi socialists hatuna upuuzi huo. Affordable housing ndio ussugest na si vinginevyoNdio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.
A city that fails to plan, is planning to fail.
nairobi ndio kuna urban planning😂😂😂Ndio maana unaambiwa hakuna URBAN PLANNING mji wenu.
A city that fails to plan, is planning to fail.
hio video nilishaitazama kabla hujaijua ukinionesha slum hapo nitag plz![]()
labda hujui maana ya slum😂😂👇👇
Google earth😂😂😂👇👇👇👇![]()
![]()
![]()
Wahenga hawakutupaka mafuta waliponena Nyani haoni kundule
Na ndio sababu mtazidi kubaki nyuma. I hope umeitizama hio video. Mko chini kama NONSENSE.So you are implying that urban planning involves putting rich people and poor people in different areas? Sikia nikwambie kitu labda hata policy za serikali zetu zinachangia, Ninyi mlikuwa mabepari ila sisi socialists hatuna upuuzi huo. Affordable housing ndio ussugest na si vinginevyo
Usijifanye hujui Dar sluum kubali usaidike...the first step to healing ni kukubali hali yako sio kuwa in denial na hasira za mkizi.sasa wewe unaonesha slum of some place that i'm not even sure if it's really Dar halafu chini yake unaweka eastlands. Kwa akili yako hiyo ni fair fight? Ukiweka slum ya dar, linganisha na slum ya Nairobi, ukiweka suburb nzuri ya nbo, linganisha na suburb nzuri ya dar, easy as that
No sina presha ila ninakukosoa tu wa kile ulichosema, eti "tumeshindwa na nini? na nani? punguza presha" halafu chini yake umepost countries with most poor people. Huu ni ulimbukeni, yaani uko determined to step on us wakati we are both on that list perhaps labda msingekuwepo ndio ningekubaliana na weweNani ako proud? Umaskini si kitu ya kushangilia. We are deconstructing your thoughts ati Tanzania below poverty ni 22%
Piga hesabu. Usipandwe na presha
Hiyo video wameingalia wakaanza kuyumba yumba yani siri zao zimewekwa wazi...I am telling you we are taking over this thread...I think its time to even close it ama tungoje pinnacle imalizike tuwanyamazishe forever?Na ndio sababu mtazidi kubaki nyuma. I hope umeitizama hio video. Mko chini kama NONSENSE.
Tumia google ujielemishe kuhusu Urban Planning