Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
urban planning my ass, nimeshakuonyesha juhudi zinazofanyika katika hiyo district, we ndio uende darasaniIt means there is no URBAN PLANNING in your town. Acha POROJO. Penda kuelimika
urban planning my ass, nimeshakuonyesha juhudi zinazofanyika katika hiyo district, we ndio uende darasaniIt means there is no URBAN PLANNING in your town. Acha POROJO. Penda kuelimika
leo umepanic sana😂😂😂😂 sasa tumehamia LDC sio slums tenaTunajua kwenu hizo slum zenu mnaziita suburbs ndio maana mpo LDC...MASIKINI WA KUTUPWA.
Tizama hii video polepole tena kwa kina. Acha kupandwa na presha2010wakati dar ime develop within 10 yrs
hIZI NI SUBURBS?leo umepanic sana😂😂😂😂 sasa tumehamia LDC sio slums tena
Tumeshindwa na nini? Na nani? Punguza preshaaibu kabisa aibu!!!!!! wameona wameshindwa eti wanaleta countrieswith most poor people jamani hawa watu ni wajinga sana
halafu unajua nyie wakenya kuna kitu kimoja hamjui kuhusu hizo suburbs mnaita slums. Unlike your city that has poor people jammed in their places in our city japo si sehemu zote unakuta hapa kuna mjengo mkalI ila opposite to it ni nyumba ya masikini. aerial views zisiwadanganye.Tunajua kwenu hizo slum zenu mnaziita suburbs ndio maana mpo LDC...MASIKINI WA KUTUPWA.
we are both on the list so there is nothing to brag about.Tumeshindwa na nini? Na nani? Punguza presha View attachment 828199
Na inabainika wazi GDP yetu hatari sana mpende msipendewakishindwa hua wanakimbilia kwenye GDPna huu mwaka kila wanapogusa ni pamoto
Tizama video acha preshakuna picha ya kwanza na mbili za mwisho ukiniletea ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forum![]()
Hasira isikupande 😂😂😂tumemaliza slum sasa tumeingia kwenye GDP😂😂😂😂😂😂
Tizama hii video polepole tena kwa kina. Presha isikuuemm nimekwambia siku ukileta ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forum![]()
NDIZO HIZO SUBURBS ZENU.halafu unajua nyie wakenya kuna kitu kimoja hamjui kuhusu hizo suburbs mnaita slums. Unlike your city that has poor people jammed in their places in our city japo si sehemu zote unakuta hapa kuna mjengo mkalI ila opposite to it ni nyumba ya masikini. aerial views zisiwadanganye.
wewe uko proud being number 8 on this list, mimi niko sad being on this list na ninawork hard kumaintain level nzuri ya maisha yangu na kuwaelimisha vijana wengine wa kitanzania kuhusu masuala kama hayaTumeshindwa na nini? Na nani? Punguza presha View attachment 828199
😂😂😂😂😂😂😂maskini ya Munguaya kitu hiki apa!!!!! wale wanaouita mji wao the London of Africa jamani msichafue jina la mji mzuri wa london
View attachment 828195
udongo mwekundu dar😂😂😂👆👆👆NDIZO HIZO SUBURBS ZENU.
Kenya, Eastlands suburbs...Angalia tofauti![]()
![]()
![]()
Tizama hii video polepole tena kwa kina. Acha kupandwa na presha