Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
we hali yako umeikubali? unapost slums za dar na huku zenu ni 'WORST' in Africa. Mi naona unatafuta ushinde na mimi sina makuu, chukua ushindi kama unataka lakini huo ni utoto tu, ukikua utagunduaUsijifanye hujui Dar sluum kubali usaidike...the first step to healing ni kukubali hali yako sio kuwa in denial na hasira za mkizi.

