Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Tunuache abaki hivyo hivyo kwa kusema bongo badoHapo sasa umeongea nimekuelewa. ..
Kumiliki landcruiser sio jambo la mchezo hapo ni watu wa kipato cha kati cha juu ..
Let me tell you some,bongo fursa zipo kibao ukiwa mjanja uku unatengeneza pesa nzuri kabisa sasa izo story za bongo bado zisikupe usingizi

