Hapo sasa umeongea nimekuelewa. ..I know Tanzania., LDC lifestyle., maybe ningesema "relatively rich"., samahani., but anyone who's family can afford Landcruiser V8., and drive it all the way from Tz to visit their child isn't poor and kawaida per'se., hawa jamaa wanatoka kwenye familia zinazojiweza. Same with some I know in Kisumu, the father works in EAC secretariat ya Kisumu, dealing with great lakes resources., wanaishi milimani estate, if u know it., Tanzania you are coming up yes, lakini bado!!!
unaelewa maana ya neno "expect"Like we have omba omba here from Tanzania., ukweli ni kwamba you are forcing to be above ke ya as at now and it is not possible, bado hamjafika., maybe sometime which vileambo yanaenda, gap inapanuka zaidi!!., jitahidi mtafika tu.
Katika ivyo vivuli muhimu zaidi ni yako walau iwe $10000 >Hiyo haifai kukufanya ukose usingizi. Shughulikieni yenu (ambayo ni ya chini sana kuiliko hiyo $1700)
Uzuri hiyo $1700 ni average ya kila mtu aliyehai nchini.Katika ivyo vivuli muhimu zaidi ni yako walau iwe $10000 >
Habar za $1000 hua sizielewi
What did the IMF/World bank world poverty index report ya June 2018 said about Tanzania??, kaka nyie masikini wa kutupwa EAC na SADC!!, usijiaibishe hapa. GDP per capita yenyu pia is below Kenya, but better than Ethiopia. Nyamaza tu kaka, you are truly an LDC country. Hamuonewi. Our economy is not on paper and what we have already on the ground of we quantify, inadhihirika wazi., our revenue collection is more than your national budget!!, na nyie waongo sana, eti mnafanya maendeleo kwa pesa zenyu wenyewe ilhali vyanzo vyenyu vya mapato haviwezi ku finance national budget!!!, ilibainika wazi wakati wa kusoma budget. Aibu sana, lazima mukope ili kushughulikia mahitaji ya nchi., je ya miradi mnatoa wapi???., blind patriots.Kumbe unalijua hilo sasa kinachowafanya hapa mje na nyimbo zenu za GDP ni nini....?...
Tena zenu ni zamakaratasi ila indeep reality liFe mpo na umasikini wakutupwa
Story Za average baki nazoUzuri hiyo $1700 ni average ya kila mtu aliyehai nchini.
Yangu binafsi haina haja ya kuiweka hapa, but for sure you get the picture.
Hiyo average sasa ndio huitwa GDP per capitaStory Za average baki nazo
I know in Tanzania even Uganda, any serious person can make it. I lived in Uganda for 3 years, wanaendesha hizo v8 sana, na range rover wanazo mingi pia., ni kawaida ya mtu yeyote binafsi kufaulu in any EAC country unapojituma in a smart way., hapa Kenya hata sisemi., too obvious!., anyway nyinyi mnajua kupingana sana!!, unaweza sema ukuta ina rangi nyekundu ata kama ni nyeusi, na ukibishana na kishinda mabishano. Nawaelewa kwa debate., mko na domo mingi sana!!!Hapo sasa umeongea nimekuelewa. ..
Kumiliki landcruiser sio jambo la mchezo hapo ni watu wa kipato cha kati cha juu ..
Let me tell you some,bongo fursa zipo kibao ukiwa mjanja uku unatengeneza pesa nzuri kabisa sasa izo story za bongo bado zisikupe usingizi

Ukwel umesema naumeeleweka mm binafsi hua sipendi porojo...I know in Tanzania even Uganda, any serious person can make it. I lived in Uganda for 3 years, wanaendesha hizo v8 sana, na range rover wanazo mingi pia., ni kawaida ya mtu yeyote binafsi kufaulu in any EAC country unapojituma in a smart way., hapa Kenya hata sisemi., too obvious!., anyway nyinyi mnajua kupingana sana!!, unaweza sema ukuta ina rangi nyekundu ata kama ni nyeusi, na ukibishana na kishinda mabishano. Nawaelewa kwa debate., mko na domo mingi sana!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe ni kilaza na mwehu sana!!ukweli usiokua na facts
ndio maana hua nakwambia siku zote usizungumze jambo huna uhakika nalo habari za expectations huwezi kuleta hapa ukatoa hoja, siku zote hua nawaambia kukimbizana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako mwenyewe
endeleeni kupika GDP
wakati maisha ya mkenya hayafananani na GDP
How can we chase a country that is behind us? an LDC!!.,
Nyie mna GDP ya 55bn, nchi kubwa, watu wengi., Kenya ina ya over 80bn now, less population than yours, gdp per capita better, poverty index slightly lower than yours!., where is the situation worse?., mko pabaya kaka!!., jifariji tu.ukweli usiokua na facts
ndio maana hua nakwambia siku zote usizungumze jambo huna uhakika nalo habari za expectations huwezi kuleta hapa ukatoa hoja, siku zote hua nawaambia kukimbizana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako mwenyewe
endeleeni kupika GDP
wakati maisha ya mkenya hayafananani na GDP
si bora kua LDC kuliko kua MLDCWewe ni kilaza na mwehu sana!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
How can we chase a country that is behind us? an LDC!!.,
![]()
![]()
First quarter nchi has grown by 5.7%., not projection, by the end of third quarter projection is likely to be 6.2% or even more, the same way imesemekana Tz will grow by 7.2%or7.5% this year., Geza Ulole, kaka yako mkubwa aliweka report from Tz bureau of statistics,in Kenyan news section, hatukupinga, yetu imewekwa na central bank mkapinga, kisha IMF's independent report from there own research imebainisha ya kua kweli economy inakua na imefika 5.7% already, wengi wenyu mumepinga kwa fujo!!., wivu itakunyonga. Wacha povu.,
lakin unemployment rate ni 2.7% kuliko nyie wenye unemployment ya 40%😂😂😂😂Nyie mna GDP ya 55bn, nchi kubwa, watu wengi., Kenya ina ya over 80bn now, less population than yours, gdp per capita better, poverty index slightly lower than yours!., where is the situation worse?., mko pabaya kaka!!., jifariji tu.
Sehemu kubwa ta Tz ni mapori buda yaani hii nchi ilivyokubwa iyo pop naona ni size nzuri kabisa..Nyie mna GDP ya 55bn, nchi kubwa, watu wengi., Kenya ina ya over 80bn now, less population than yours, gdp per capita better, poverty index slightly lower than yours!., where is the situation worse?., mko pabaya kaka!!., jifariji tu.
aaah mkuu kama ndo hiyo sheng sawa hata mimi nakubali!!..maana kuielewa sentensi moja tu ya sheng inahitaji uwe kidume haswaaaaa,yaani sentensi moja inakuwa na mchanganyiko wa kijaluo,kiswahili,kiingereza,kichina,kispanish humo humo..
hayo ndiyo mambo ya manyang'au wakikenya
Ndiyo maana huwa tunasema GDP yao ni ya makaratasi yaani hizo za miaka ya nyuma inaelekea ni za matarajio mpaka 2050 ndiyo wawe na real GDPukweli usiokua na facts
ndio maana hua nakwambia siku zote usizungumze jambo huna uhakika nalo habari za expectations huwezi kuleta hapa ukatoa hoja, siku zote hua nawaambia kukimbizana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako mwenyewe
endeleeni kupika GDP
wakati maisha ya mkenya hayafananani na GDP
alaf nusu ya kenya jangwa 😂😂😂😂Sehemu kubwa ta Tz ni mapori buda yaani hii nchi ilivyokubwa iyo pop naona ni size nzuri kabisa..
Sasa Kenya yenu tumepishana watu 5M lakini ni kanchi kadogo..ningekuelewa kama Kenya mngekua walau 30M lakini kwa wingi huo wa watu pamoja na ukubwa wa nchi yenu naona kama nyie ndio mnazaliana sana..
Leo kuna raia wanakula bata .......huko ilibidi nuwepo aisee umenipa hasira ..