ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
so unafananisha uchumi wa south africa na wakenya???😂😂😂Weka facts not unsubstantiated internet reports. Do you even know what 60% to GDP ratio means for a GDP of 80bn?., it is still sustainable., nyie masikini hamuwezi handle hiyo level ya borrowing. Kaangalie bigger economies their debt to GDP ratio., even some developed countries has more! jiulize why? the economic output can sustain it., SA dept to gdp ratio may hit 65% according to news reports from south., shida si ukubwa, ni uwezo wa kulipa.
Kigezo ya kupima poverty line ya lower middle income is less than $3!., maybe hauna copy., fanya utafiti kaka., our 40% below poverty line is not same as yours. That is why Kenya has 40% below poverty line by middle income standards, lakini on extreme poverty nyie ni 32% Kenya 24%, tuko vibaya sote, but mko worse. Bingwa wa umaskini EAC na SADC! Jielewe kaka, we are not reading from the same script.
tatizo lenu nyinyi munapendana kushindana na watu musioweza kuwamudu
yani deni la usa utafananisha na deni la kenya hvi wewe akili yako iko sawa kweli😂😂😂
kama ajira hakuna kwa vijana 40% ndugu yangu hata mungekua na GDP 1 trillion usd ni sawa na zero tu
yani huwez kua na strong economy alaf nusu ya kenya hawana ajira na nusu ya kenya wanaishi below poverty line never ever my friend
utakuaje na strong economy alaf kila siku watu wanakufa na njaa😂😂😂😂


