Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

254 proud
IMG_20180801_151932.jpg
 
Djb634eW4AAFLRG.jpg

DjgerACXoAUqQaS.jpg

Hapa kweli kuna mjadala? Hizo rangi utafikiri taa ya kuchaji ya kichina inayouzwa Kariakoo!!!! Sijui mjinga gani aliwadanganya hata Airport muweke rangi za bendera.
Wakenya ni zero hata lile buffalo lao la 1970'swamelichora bendera yao wakati lipo kenya hawajiamini kabisa
 
Kitu inakaa greenhouse or a closed fish market...cheki hata quality vile ni substandard( best stanards though in any LDC).
Djb634eW4AAFLRG.jpg


New Nairobi
img_20180730_165732_843-jpg.824412
 
Coming up MOMBASA VS MWANZA. Second vs second.This one is done. Conclusion :Nairobi 's Economy is larger than Tanzania. Twende sasa hadi number kumi
 
Why not Mombassa vs Zanzibar?

Zanzibar ipatie Malindi... I have been to Zanze more than half a dozen times and there is not much there. .. . Right from the cbd to Nungwi at the north
 
Me sijui hao 2.5 million residents wa kibera huwa munatoa wapi...while dar has more than 3 million living in dream housesView attachment 824172
OK, mi nataka nikuulize swali kutokana na hii screenshot yako,
Unajua maana ya "the largest urban slum in Africa"??..the largest,the largest,the largest"..wakenya mna elimu inayowafanya muwe wajinga zaidi.!
 
Hapa ni Magomeni. Magomeni ni mji w zamani una mitaa imenyooka wala sio slum. Tatizo lako ukiona nyumba ziko karibu karibu unaita slum. Hio hi high density area. Kwenye hio picha kuna mtaa wa Idrisa ambao ni 4-lane street na mitaa mingi ina-cut across BRT
wakenya ni watu wa ajabu sana wao wakiona mabati yana kutu tu basi akili zao zinawaambia "hizo ni slums"..
Inabidi wabongo tuanzishe kampeni maalumu ya kuwaelimisha maana ya slum.
 
Back
Top Bottom