Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

God save our southern neighbors
Screenshot_2018-08-01-14-09-27~2.jpg
 
Zii ichoboy..sijamaanisha hvo..jus pointing that even successful airlines have their down moments..you guys should learn from us
we have nothing to learn from you failures,..
note,we do have our own planes, you shit with KLM's and baclays bank's planes,can you think what can we learn from you??
 
wanauchumi wenu walishawaambia one of themain factor of kq loss ni leased aircrafts hamuwezi kubeba abiria 20 kwenye boeing 737 alaf mwende mkamlipe mwenye ndege same amount kweny mkataba hapo ndipo mzungu alipowashika makende😂😂
aaaahhh wakenya ni wajinga sana kwa akili ya kawaida hata mimi mfanyabiashara wa kawaida tu siwezi nikafanya upuuzi kama huo,huwezi kukwepa hasara kwa namna hiyo!!
 
Djb634eW4AAFLRG.jpg

DjgerACXoAUqQaS.jpg

Hapa kweli kuna mjadala? Hizo rangi utafikiri taa ya kuchaji ya kichina inayouzwa Kariakoo!!!! Sijui mjinga gani aliwadanganya hata Airport muweke rangi za bendera.
 
nataka nije nairobi vipi SHIDA YA MAJI vipi huko imeishaisha maana mlikosa maji kwa miezi kama sita
 
Back
Top Bottom